Zimba XXV
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,649
- 3,779
Nayo hamna kitu kaimba inaeleweka humo.. wajipange tena.Bora ile Bhakhresa au sio?😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayo hamna kitu kaimba inaeleweka humo.. wajipange tena.Bora ile Bhakhresa au sio?😄
Duu Diamond alikuwa anandikiwa mashairi how?Uko sawa sijajua kama diamond alikua anaandikiwa mashairi(ghost writer) au alikia anaandika mwenyewe mana ukisikiliza nyimbo kamwambia,mbagala na nyingine kali zs mwanzo zilikua zimeshiba mashairi lakn sasa hivi anatunga mashairi mepes sana na yakuunga unga sana... msikilize ali kiba mashairi yake yalivyotulia na yameshiba kila akitoa nyimbo hamna mtu asiyemkubali anachora sana kitu bacho wasanik weng hawana
work of art. kila msanii ana ubinafsi wake unaomtofautisha na mwingine. ndio maana unaweza kuta ngoma kaimba msanii fulani, ila ukajiuliza huu utunzi mbona kama wa msanii fulani. hata kwenye mpira hiyo ipo, ukiona tu receiving na dribbling unajua huyu ni mchezaji fulani.Usinipe kitandan leo nipe kwa sofa (sona)
Unipe chungwa nikupe tango, usiku tukiyafanya mambo (wonder)
Asubuh moko moko cha moto moto (loyal)
View attachment 2147533
Namba unaweza kuzipata hata kwa Promo. Ni suala la mfuko wako tu.Duu Diamond alikuwa anandikiwa mashairi how?
Uzuri mwisho wa siku kwenye Number atawakimbiza hao wote unao wataja. Ok FOA mpaka jana saa mbili usiku less than 24hrs tokea itoke ina total streams 7m kwenye digital platforms zote.
😄😄😄😄Nasubiri ngumi hapa
Hapo hata mimi naona hajafanya poa.EP ni nzuri kiasi chake japo katika nyimbo ya Nawaza hajamtendea haki yule binti Elizabeth.
Toa nyimbo yake then kapige promo tuone kama utafikia hata number za MC Balaa?Namba unaweza kuzipata hata kwa Promo. Ni suala la mfuko wako tu.
Diamond akiendelea kuimba hivi kama kwenye FOA, basi atafanya makubwa sana. Kuhusu kuandikiwa mashairi siyo jambo baya, maana hata wasanii wakubwa duniani huwa wanaandikiwa. What we want is the melody and a taste of his soul. Ile ngoma kali kama STILL DRE ni ya moto mpaka leo, lakini DRE na Snoop waliandikiwa na Jay-Z.Uko sawa sijajua kama diamond alikua anaandikiwa mashairi(ghost writer) au alikia anaandika mwenyewe mana ukisikiliza nyimbo kamwambia,mbagala na nyingine kali zs mwanzo zilikua zimeshiba mashairi lakn sasa hivi anatunga mashairi mepes sana na yakuunga unga sana... msikilize ali kiba mashairi yake yalivyotulia na yameshiba kila akitoa nyimbo hamna mtu asiyemkubali anachora sana kitu bacho wasanik weng hawana
Hata ukitumia pesa yako mfukoni au media yako, bado hizo Ni gharama zinahesabika.Toa nyimbo yake then kapige promo tuone kama utafikia hata number za MC Balaa?
Diamond Promo anajipa mwenyewe na media yake ya Wasafi. Mbona hao wengine wanapewa promo na redio zote kubwa ambazo haziupi airtime mziki wa Diamonds lkn stills pamoja na kubebwa ila bado hawajafikia namba za Chibu.
Au ndio mahaba nakupa homework kamtafuta msanii ambaye single yake ilipewa airtime kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa tano usiku na radio kubwa ya watu na nyimbo yenyewe ilikuwa sebene ila hamkuliona.
Kuna wasanii walipo zindua album media zile kubwa yaani TV na radio wame zizungumizia album zao mwezi mzima wanazipa promo, hamjaliona, sasa msanii ambaye airtime anapata radio moja unasema mfukoo wako, vipi hao wengine.
Harmonize, Mbosso,Kiba, Jux, Vanny na Mondi nk A list ya bongofleva wote wanapromoti kazi zao YouTube na Instagram.Hata ukitumia pesa yako mfukoni au media yako, bado hizo Ni gharama zinahesabika.
Ukiamua kjiweka LIVE tukio zima unazindua EP au unampokea Koffi Olomide bado Ni gharama unatakiwa kuhesabu.
Unakaza fuvu kuwa media zinapendelea.watu, hivi ukiacha EATV, Clouds na EFM Kuna media zozote ambazo zilisusa kupiga ngoma za wasafi.
Au nchi hii media Ni hizo tatu?
Kweli wewe Ni Mkuu Ndugu yangu. Unafanya kazi kwenye viduka vya mikoba Happ Tabata Nini?