sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Ya ukiraini.Africa ipi?
Africa mashariki magharibi kusini kaskazini na kati.Africa ipi?
Tumeianza sikukuu ya FOA.Embu lala..
Neno "kila mtu" linakosa maana stahiki kwasababu mimi na familia yangu hakuna mmojawapo anayejua FAO ni nini wala kuiongelea.Africa nzima hatimaye imesimama.
Ni shangwe kila kona mitandaoni mpaka mitaani.
Roho zimesuuzika kiu imekatwa.
FOA imekuwa FOA kwenye mdomo wa kila mtu ndani ya bara la Africa.
Hakuna wimbo wa ku-skip
History nyingine inaandikwa na mfalme wa afro pop.
"Mtasubiri "πππ₯π₯π₯π₯ππππAfrica nzima hatimaye imesimama.
Ni shangwe kila kona mitandaoni mpaka mitaani.
Roho zimesuuzika kiu imekatwa.
FOA imekuwa FOA kwenye mdomo wa kila mtu ndani ya bara la Africa.
Hakuna wimbo wa ku-skip
History nyingine inaandikwa na mfalme wa afro pop.
πNimezisikiloza nyimbo zote kijana KAUA sana [emoji91][emoji91][emoji91] nyimbo zote zipo Hot
Shenzi taipu..[emoji23]Ya ukiraini.
AnastahiliAfrica nzima hatimaye imesimama.