Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

EP MBOVU KINOMA, DOMO ANABEBWA NA UMAARUFU WAKE LAKINI IN TERMS OF WORK GOT NOTHING TO OFFER.
Huo umaarufu hao wengine wanafeli wapi mpaka wanashindwa kuwa nao ili uwasaidie pia?

Watu maarufu pia hu-flop pindi wanapotoa kazi mbaya.

Muendelezo wa kazi nzuri ndiyo unaomsimasha katika umaarufu kwani kazi zake zinapendwa na wengi, of course haiwezekani kazi za artist yoyote zikapendwa na watu wote lakini kama zimependwa na walio wengi hiyo ni success.

Wapo wengine wanachukia kazi za msanii kwa sababu tu wamejawa na hate pamoja na wivu, hilo kundi pia lipo.
 
Huo umaarufu hao wengine wanafeli wapi mpaka wanashindwa kuwa nao ili uwasaidie pia?
Watu maarufu pia hu-flop pindi wanapotoa kazi mbaya.
Muendelezo wa kazi nzuri ndiyo unaomsimasha katika umaarufu kwani kazi zake zinapendwa na wengi, of course haiwezekani kazi za artist yoyote zikapendwa na watu wote lakini kama zimependwa na walio wengi hiyo ni success. Wapo wengine wanachukia kazi za msanii kwa sababu tu wamejawa na hate pamoja na wivu, hilo kundi pia lipo.
HUELEWEKI, INSHORT EP NI MBOVU.
 
Mkuu ulitakiwa uweke record za maana,hujautendea haki uzi wako,kama unaweza ongezea hizi nyama au record

FOA ndio EP ya kwanza East Africa kupiga stream million 1 ndani ya boom play ndani ya masaa takribani masaa 18.

Hivi tunavyoongea ina stream Million 3,on average jamaa anatembeza 1M streams kila siku.

FOA ndio EP iliyoweza trendisha ngoma namba 1 ,2 ,3 huko YouTube

Foa ndio EP iliyoweza toa nyimbo mbili na kikimbiza views million ndani ya saa chache uko YouTube ikiwa ni Audio tu..na ngoma hizo ni Nawaza na Na ile yupo na zuchu.

FOA ndio EP iliyoweza kutrend zaidi ya nchi 33 ndani ya siku 3 tu za mwanzo.

Lakin piah ndio EP iliyokua habari ya mjini kuzid EP yoyote kwa sasa.
 
hata sijaisikia ngoma yake yeyote.
HIVI NI YEYOTE AU YOYOTE
Matumizi sahihi ya 'yoyote' na 'yeyote'
---
Maneno haya kidogo yanafanana kimaumbo na kimatamshi, ila yana matumizi tofauti kabisa.
---
Kwa muktadha wa upatanisho wa kisarufi:
  • Yoyote = Hutumika katika vitu visivyo na uhai.
  • Yeyote = Hutumika katika vitu vyenye uhai.
---
Hivyo kasomi alipaswa kutumia neno yoyote.
 
Back
Top Bottom