Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Kuna watu humu wanauliza mambo ila wakijibiwa wananuna wanataka watu wasapoti kila kitu. Ukijibu tofauti utasikia una njaa mara ohoo wivu. Watu lazima watofautiane .pumbavu ninyi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Oya lagaligila (Fresh!)

Ifungwe counter ifungwe bar (Fresh!)

Si hatulali jama (Fresh!)

Na wakifunga tunahama (Fresh!)[emoji482]

Sisi walevi tumepata jimbo letu la kulewea hatuna tatizo nae
Diamond Platnumz Lyrics



"Fresh"
(feat. Focalistic, Costa Titch & Pabi Cooper)

Yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah
Yeah yeah
Yeah yeah

Oya dance ka unajilegeza
Eeeh jilegeza
Fanya unadance
Ka Unajilegeza
Eeh jilegeza
Asa dance ka unajilega
(Fresh!)
Eeeh jilegeza
(Fresh!)
Fanya unadance
Ka Unajilegeza
(Fresh!)
Eeh jilegeza
(Fresh!)

Oya lagaligila (Fresh!)
Ifungwe counter ifungwe bar (Fresh!)
Si hatulali jama (Fresh!)
Na wakifunga tunahama (Fresh!) (Fresh!)

Oya lagaligila (Fresh!)
Ifungwe counter ifungwe bar (Fresh!)
Si hatulali jama (Fresh!)
Na wakifunga tunahama (Fresh!)

Ayeyeye naondokaje sasa
Kwanza nawahi nini
Na wakati nimeachwa
Ayeyeye naondokaje sasa
Kwanza nawahi nini
Na wakati nimeachwa

Drip drip drip
Drip drip (Fresh!)
Post that tiktok sh!t (Fresh!)
Thats my last year drip (Fresh!)
My new drip too lit (Fresh!)
Drip drip drip
Drip drip (Fresh!)
Post that tiktok sh!t (Fresh!)
Thats' my last year drip (Fresh!)
My new drip too lit (Fresh!)

Aeyeye naondokaje sasa
Kwanza nawahi nini
Na wakati nimeachwa
Ayeyeye naondokaje sasa
Kwanza nawahi nini
Wakati wa wa wa

Asa kidole mama kido
Kidole mama kido
Kidole mama kido
Kidole mama kido
Kidole mama kido
Kidole mama kido
Kidole mama kido
Kidole mama kido

Aeyeye naondokaje sasa
Kwanza nawahi nini
Na wakati nimeachwa
Ayeyeye naondokaje sasa
Kwanza nawahi nini wa

Yeeh eh eeh!
Giddy ups yabangena
Ma soldier ratatatah
(Ratatatatah)
Titch gang ra ba kena
Dior ke di fafafafafah
(Fafafafafah)
Thuntsa mu rata tah (fresh)
Straight out of south ah (fresh)
And die popo sal dance (fresh)
Ke rata bana ba (fresh)
Ngwana wale shanda pah (fresh)
Stocko nkare ke spaza (fresh)
I'll be fresh so clean so ah (fresh)
Titch gang stay soft stay nwah (fresh)

Oya dance ka unajilegeza
Eeeh jilegeza
Fanya unadance
Ka Unajilegeza
Eeh jilegeza
Asa dance ka unajilega
(Fresh!)
Eeeh jilegeza
(Fresh!)
Fanya unadance
Ka Unajilegeza
(Fresh!)
Eeh jilegeza
(Fresh!)

Drip drip drip
Drip drip (Fresh!)
Post that tiktok sh!t (Fresh!)
Thats my last year drip (Fresh!)
My new drip too lit (Fresh!)
Drip drip drip
Drip drip (Fresh!)
Post that tiktok sh!t (Fresh!)
That's my last year drip (Fresh!)
My new drip too lit (Fresh!)

Le tu tu tu tu tu
Tulewe
Le tu tu tu tu
Tulewe
Yeye
Yeye tulewe
Yeye
Yeye tulewe
Le tu tu

Asa miruzi baba
Sjasikia milio
Twende wanangu tena
Niongezee kidogo
 
Kuna ile banger inaitwa SONA ft AdekunGold, aiseeh Nimempa salut huyu dogo. Mungu aendelee kumuinua.
Mi nimeikubali sana Wonder, inshort zile za taratibu kazifanya poa kuliko hizo za kurukaruka na mauno.

Kuna wadau wanasema mchizi hajui kuimba mara ana sauti mbaya but for me nachoona ni kua jamaa alishajua sauti yake iko na anapaswa kuimba nini na ndicho anachofanya.
Kutaka sauti zifanane hao sio kasuku aisee.
 
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]

Ikiwa ni siku ya sita leo .......EP ya taifa ya mfalme wa muziki Africa, east Africa na dunia kwa Ujumla

....imefikisha streams milion 30 kitu ambacho hakijawahi tokea tangu kuanza kwa tasnia ya muziki hapa EA pale mjin YouTube

Yajayo yana furahisha sanaa
Tutegemee kuvunja rekodi nyingi ikiwemo zile za kina michiel jakson.......Drake, Jay z na wengineo

source ..... YouTube

Imeletwa na mchambuzi.....Laban og

FB_IMG_16475829349174051.jpg
 
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]

Ikiwa ni siku ya sita leo .......EP ya taifa ya mfalme wa muziki Africa, east Africa na dunia kwa Ujumla ....imefikisha streams milion 30 kitu ambacho hakijawahi tokea tangu kuanza kwa tasnia ya muziki hapa EA pale mjin YouTube

Yajayo yana furahisha sanaa

View attachment 2154903
Kuna watu watanuna[emoji851][emoji851]
 
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]

Ikiwa ni siku ya sita leo .......EP ya taifa ya mfalme wa muziki Africa, east Africa na dunia kwa Ujumla ....imefikisha streams milion 30 kitu ambacho hakijawahi tokea tangu kuanza kwa tasnia ya muziki hapa EA pale mjin YouTube

Yajayo yana furahisha sanaa

source ..... YouTube

Imeletwa na mchambuzi.....Laban og

View attachment 2154903
Alafu punguza uchawa unajua mwanamziki kidunia wewe?
 
Back
Top Bottom