Naitaji mwanamke huru

Na mimi natafuta wa hivo ila sijawahi pata 😂😂😂
Ukipata niambie ili nimuulize kama ana dada au rafk kama yeye 😂
 
Mbarikiwe mlioufaya huu uzi uwe active.
Lakini bado hakuna hata binti mmoja alie jitokeza kusema anavyo vigezo hata nusu tu 😣
 
Napenda sana mwanamke (mcheshi na mwenye akili japo ni wachache mno)
 
Mbarikiwe mlioufaya huu uzi uwe active.
Lakini bado hakuna hata binti mmoja alie jitokeza kusema anavyo vigezo hata nusu tu [emoji21]
Ngumu sana
 
Unakwama wapi kumwomba Mungu kibali cha Mke mwema tu, mbona hayo yote uyawazayo juu ya hu Mke yamejikita katika Mke mwema?
asubutu.

Huoni elements za kuliwa masikhara mkuu.

Hizo stretching unafikiri ni za kazi gani?

Eti amuelewe mtu alivyo na aishi nae bila misuguano, hii sio kwamba yeye ni kadinyaji kweli kweli sasa akuvumilie?

Na hiyo kuwa free na kupokea simu usiku wa manane je? Ni ili aibuke muda wowote apige free P ya fasta asepe bila misuguano ya kugandana.
 
Hahahaha ninakukubaligi bure qe kiumbe
 
Weee ke... ama..[emoji23]
Maana uko fasta... Dah

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]basi tu ungekuaga mtaani ningekuimbisha kila siku.
Naipenda akili yako.
Unaweza kumfanya kiumbe aishi kwa furaha yani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]basi tu ungekuaga mtaani ningekuimbisha kila siku.
Naipenda akili yako.
Unaweza kumfanya kiumbe aishi kwa furaha yani
Yaani hii akili mbofu mbofu unaipenda eeeeh?

Wonders shall never end.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…