Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Akili zenu fupi sana
Mwehu na mfu mnawapambanisha na mtu mzima
Mwehu na mfu mnawapambanisha na mtu mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakula bata la mwaka mbunguni wewe hujui kitu.Sasa hivi anateseka motoni kwa dhambi ya utekaji
Nobody in the bucket fits to outshine Dr. JPM; he was a unique, visionary, firm on what he believed would benefit the ordinary citizens.Nafahamu fika Hayati John Magufuli hatarudi duniani. Hata hivyo, kulingana na wanavyomjadili wabaya na wapenzi wake na yale yote mazuri na mabaya aliyotenda kama binadamau, bado tuko naye kiroho kama siyo kihistoria.
Katika kuwa-assess viongozi wetu walio hai ili wajue hisia zetu na wajirekebishe au kuongeza ufanisi, kama leo ingetokea tukawapambanisha watatu hawa katika kinyang'anyiro cha kumsaka anayefaa kutuongoza na kulinda raslimali zetu, ungemchagua nani.
Kumbuka hii ni hypothesis inayolenga kuwapa tahadhali na somo viongozi wetu. Twende kazini.
View attachment 2693542
SureSiku moja wengi wataning'iniza vichwa vyao kwa aibu watakapogundua uovu walioutetea na mashujaa waliowakejeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbughuni sawa nilidhani mbinguniAnakula bata la mwaka mbunguni wewe hujui kitu.
Mama Samia Rais wangu.We bibi ni udini tu dah
SawaaaaaMbughuni sawa nilidhani mbinguni
Magufuli...Nafahamu fika Hayati John Magufuli hatarudi duniani. Hata hivyo, kulingana na wanavyomjadili wabaya na wapenzi wake na yale yote mazuri na mabaya aliyotenda kama binadamau, bado tuko naye kiroho kama siyo kihistoria.