Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

Usiitoe! Uliyekosana naye au aliyekukosea ni huyo mwenza wako, si mtoto wako aliyeko tumboni. Hana kosa lolote la kuhukumiwa kifo, tena angali bado mchanga asiyeweza kujitetea au kukulilia uokoe uhai wake.

Huyo mtunze na mlee, atakuja kuwa mwokozi wako na faraja yako hapo baadaye. Kila mtu anakuja duniani kwa kusudi maalum la Mungu, usikatishe kusudi la mwanao hapa duniani.

Si ajabu ukawa unamuua rais wa 2070, mhandisi maarufu, mchungaji, mwimbaji au mfanyabishara maarufu, nk. Tafadhali usitoe hiyo mimba, huyo ni mwanao kipenzi. Usimuue!
 
Nakushauri usitoe hiyo mimba bora hata usingesema humu nikajua! Kama nakiona kiumbe chako tumboni kimekaa kwa amani kikijua kipo sehemu salama kumbe kipo hatarini kuondoshwa!.. msimuhukumu huyo kiumbe kwa matatizo yenu zaeni mlee acheni ujinga.
Sawa kabisa!
 
Kwa muhusika anasemaje juu ya kiumbe chake

Miezi minne tayar ni kiumbe Hai, maamuz yako yame over due
 
Kimekucha Binti,
Umeshakuwa mama wa Marehemu?
Kaburi utachimba mwenyewe au utaflash maiti ya mtoto wako kama kinyesi ...

Ipo siku utapanga kuwa mjane!

Usisahau kuweka no ya kukutumia Rambirambi, hili ni jambo la kijamii na ni jukumu letu sote kuomboleza na wewe
 
Wewe siyo mwehu tu ni takataka kabisa.


Toa hoja kama kichwa chako kiko fit na sio kutoa harufu ya matusi kutoka tundu la mdomo wako kama harufu itokayo katika tundu la choo cha stendi (public toilet).

Toa hoja انت مجمون.😜
 
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye...
If is that your final decision, usiende kutoa mimba uchochoron hakika utakufa nayo au itakuacha na dosari ya maisha kwasababu mimba ya miez minne n kubwa haiwez kunyofolewa ovyoovyo, hakikisha unaenda kwa mtaalam aliyebobea ili necessary procedure km kusafisha kizaz zifuate after abortion.

Another time my sister be careful if you really don't need pregnancy know your menstruation cycle and engage sexually in safe days only au waweza kwenda kituo Cha afya na kuomba ushaur wa kutumia uzaz wa mpango .

[emoji419]Jali afya yako it's every thing.
 
Unatuchosha mkuu, mosi wewe ni mtu,ulianzia kama mtu, kwa muktadha huo kiumbe kilichopo ndani ya mama mjamzito ni mtu pia ,

kama ilivyo kumpiga mtu labda risasi ni mauaji hivyo hivyo kutoa mimba ni mauaji pia,sababu wote ni watu wanaouwawa,

Nimeona unaongelea sperm zimekwenda wapi, hizo ni cells tu,mtoto anaitwa mtoto mpaka iungunishwe na yai la mwanamke lililopevuka, kila kitu kimekua crafted na Mungu, uwezo wetu kuzaa umekua limited,it serve some purpose..hii ni kujiandaa kuleta kiumbe na kukilea ambayo inachukua muda kufanya hivyo, kwa hio tusingeweza kuwa na watoto wengi, IMAGINE kila sperm ingekuwa inaruhusiwa kutengeneza mtoto tungelea saa ngapi??? lazima u appreciate Mungu fundi akaweka sperm moja

independence mkuu again hio ni nature huyo mtoto imewekwa ale chakula ,apate hifadhi kwa mama tumbon ili asurvive, yeye hana kosa ..hata wewe labda umefanya mambo mengi yaliyobidi kufanya u-survive ambayo yalikuja tu naturally ....pia,tunapoishi na wazazi wetu wanaprovide vitu kuanzia utotoni mpaka tunakuwa wakubwa,je walitupiga risasi tulivyokua dependents?

hivi na wale wanaozaliwa njiti,yuko nje kwenye uangalizi maalumu je ungewaua watoto wa hivi kw vile wako nje ya mama yao?

hio ya kutoa kunusuru mzazi,i reserve my comments for now.
 
[emoji116]
 
Haya ni mauaji mkuu ni dhambi haitakuacha salama
 
Kama utaenda kutoa, nakuhakikishia utakiona cha mtema kuni!

Badili hilo wazo haraka sana na uelekeze upendo kwa kiumbe kilicho tumboni mwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…