Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Usiitoe! Uliyekosana naye au aliyekukosea ni huyo mwenza wako, si mtoto wako aliyeko tumboni. Hana kosa lolote la kuhukumiwa kifo, tena angali bado mchanga asiyeweza kujitetea au kukulilia uokoe uhai wake.Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.
Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.
Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.
Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Huyo mtunze na mlee, atakuja kuwa mwokozi wako na faraja yako hapo baadaye. Kila mtu anakuja duniani kwa kusudi maalum la Mungu, usikatishe kusudi la mwanao hapa duniani.
Si ajabu ukawa unamuua rais wa 2070, mhandisi maarufu, mchungaji, mwimbaji au mfanyabishara maarufu, nk. Tafadhali usitoe hiyo mimba, huyo ni mwanao kipenzi. Usimuue!