Asante jirani, ujue wakati mwingine tunapitia njia ngumu ambazo haziwezi zikatufanya tuepuke maumivu.Jirani nyakati ngumu ni kwaajili ya binadamu wote, Mimi huwa nina msemo wangu kuwa hili ni langu, limenifika na linatakiwa kupita, tofauti ya anayelia na asiyelia ni imani na tumaini.
Take heart brother, Sending hugs 🫂
Ni kweli mkuu ila nimwambie tu kwamba ukiona umepata jaribu hata liwe zito kiasi gani jua hilo ni saizi yako ndiyo maana umelipata.Itoshe kusema tu, asante kwa maoni yako mkuu. Ipo siku yaja nawe utajiskia kama nilivyo jiskia mimi na hata familia yetu ilikua ikinitazama mimi ili nitende jambo lakini haikuwezekana.
Unapo barikiwa kupata mahitaji ya kukidhi familia, pia ukajitunzia akiba kwaajili ya kusaidia familia.... kisha siku moja ukapata maumivu pamoja na familia, wakati huo maumivu hayo yakahitaji maombi ama faraja..... then ninaamini utakuja kuelewa ninacho maanisha.
Kwanza nikukosoe kidogo....Ni kweli mkuu ila nimwambie tu kwamba ukiona umepata jaribu hata liwe zito kiasi gani jua hilo ni saizi yako ndiyo maana umelipata.
Binafsi nimepitia majaribu makubwa 2 kwenye maisha yangu, hali iliyofikia mpaka kutaka kujiondoa uhai mara 2,.
Ila nilikuja kugundua kubwa haya majaribu yanaimarisha zaidi
MAOMBI nyakati ngumu..!Asante mkuu, mimi na mke wangu mpenzi tumesema asante
Wewe bibi mpuuzi sana. Unataka kila mtu awe na imani kama ya kwako?Anza kuswali saala tano kwa siku.
Kama siyo Muislam, shahadia uanze kwenda msikitini kusali.
Hapana, sina uwezo huo.Wewe bibi mpuuzi sana. Unataka kila mtu awe na imani kama ya kwako?
Ushauri gani huo punguza kuendekeza udini. Dini haimpeleki mtu peponi bali mema na matendo yakeHapana, sina uwezo huo.
Nilichofanya ni kutowa ushauri wangu kwa njia nyepesi kabisa kutokana na mada.
Hivi wewe unasali tano kwa siku?
Unataka niendekeze upagani?Ushauri gani huo punguza kuendekeza udini. Dini haimpeleki mtu peponi bali mema na matendo yake
😳AminaPole, usiache kumtegemea Mungu
soma Zaburi 9:10, ishi hapo....
Kwamba wale watoto tunaowaona kila siku wakitangatanga barabarani ni wale ambazo wazazi wao wameachwa na pia wasio na haki?'Nami nikasema nilikua kijana na Sasa ni Mzee, sijawahi kuona mwenye haki ameachwa wala watoto wake kutangatanga barabarani'
Pole sana Komredi Mungu ni mwaminifu ni suala la muda atawavusha salama.
Muhimu msisahau kushukuru kwa kila jambo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vipi mkuu!?? Wife kaliwa nini!??