Najiskia kuwa mnyonge, na moyo wangu umebondeka sana. Eehh Mungu nitie nguvu

Najiskia kuwa mnyonge, na moyo wangu umebondeka sana. Eehh Mungu nitie nguvu

Jirani nyakati ngumu ni kwaajili ya binadamu wote, Mimi huwa nina msemo wangu kuwa hili ni langu, limenifika na linatakiwa kupita, tofauti ya anayelia na asiyelia ni imani na tumaini.

Take heart brother, Sending hugs 🫂
Asante jirani, ujue wakati mwingine tunapitia njia ngumu ambazo haziwezi zikatufanya tuepuke maumivu.
Leo nimejifunza jambo kubwa sana pale nilipo itazama pesa na haikuwa msaada tena kwangu, bali niliona Mungu ndie pekee anaweza kutuvusha katika hili.
 
Itoshe kusema tu, asante kwa maoni yako mkuu. Ipo siku yaja nawe utajiskia kama nilivyo jiskia mimi na hata familia yetu ilikua ikinitazama mimi ili nitende jambo lakini haikuwezekana.
Unapo barikiwa kupata mahitaji ya kukidhi familia, pia ukajitunzia akiba kwaajili ya kusaidia familia.... kisha siku moja ukapata maumivu pamoja na familia, wakati huo maumivu hayo yakahitaji maombi ama faraja..... then ninaamini utakuja kuelewa ninacho maanisha.
Ni kweli mkuu ila nimwambie tu kwamba ukiona umepata jaribu hata liwe zito kiasi gani jua hilo ni saizi yako ndiyo maana umelipata.

Binafsi nimepitia majaribu makubwa 2 kwenye maisha yangu, hali iliyofikia mpaka kutaka kujiondoa uhai mara 2,.

Ila nilikuja kugundua kubwa haya majaribu yanaimarisha zaidi
 
Ni kweli mkuu ila nimwambie tu kwamba ukiona umepata jaribu hata liwe zito kiasi gani jua hilo ni saizi yako ndiyo maana umelipata.

Binafsi nimepitia majaribu makubwa 2 kwenye maisha yangu, hali iliyofikia mpaka kutaka kujiondoa uhai mara 2,.

Ila nilikuja kugundua kubwa haya majaribu yanaimarisha zaidi
Kwanza nikukosoe kidogo....
Kupitia mateso hata kutaka kujitoa uhai hii haukua sahihi (huu ni ugonjwa wa ukichaa/akili).
Lakini nikurekebishe tena kwamba nilipitia mtihani na sio mateso kama ilivyo tokea kwako.
Yaani ilifikia wakati pesa ipo lakini haikua msaada tena kwetu, zaidi ya maombi kwa Mungu na faraja kwa watu wetu wa karibu.
Mkuu, nilipitia maumivu ya moyo na niliona sina namna ya kupona zaidi ya kusema maumivu yangu na kuomba Mungu tunae muamini afanye kama itakavyo moendeza.
Nimalizie kwa kusema kwamba mateso yanaua, lakini majaribu yanaimarisha ingawa maumivu yake hayakwepeki.
 
Asante mkuu, mimi na mke wangu mpenzi tumesema asante
MAOMBI nyakati ngumu..!

Baba wa Mbinguni, Asante kwa yote ambayo umekuwa ukinifanyia. Baba, Unajua kila kitu kinachotokea katika maisha yangu hivi sasa. Mungu, haya yote ni mengi kwangu na siwezi kufanya hili peke yangu. Tafadhali nisamehe kwa kuhangaika sana kuhusu matatizo yangu na kuruhusu imani yangu kufifia..

Hivi sasa, ninatupa shida zangu zote kwako. kukupa stress zangu zote. Ninakupa mizigo yangu yote. Tafadhali zichukue kutoka kwangu na unipe amani ya ndani na utulivu. Faraja moyo wangu, nipe nguvu ya kuvuta kila siku. Nisaidie nisivunjike moyo lakini badala yake, nisaidie kukua katika imani na kuamini katika wakati Wako.

Asante, Baba, kwa kusikiliza maombi yangu. Katika jina la Yesu, nimeomba.

Amina[emoji1545][emoji17][emoji419][emoji375]

Jr[emoji769] Future pastor [emoji173]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana

Naona classmate wako lazima

Watakuja kukufariji

Ova
Dahhhhh....😥
Tuzidi kuwaombea hapa Gaza, Mungu awatie nguvu na ujasiri ili waachiwe salama...😪
 
Wewe bibi mpuuzi sana. Unataka kila mtu awe na imani kama ya kwako?
Hapana, sina uwezo huo.

Nilichofanya ni kutowa ushauri wangu kwa njia nyepesi kabisa kutokana na mada.

Hivi wewe unasali tano kwa siku?
 
Hapana, sina uwezo huo.

Nilichofanya ni kutowa ushauri wangu kwa njia nyepesi kabisa kutokana na mada.

Hivi wewe unasali tano kwa siku?
Ushauri gani huo punguza kuendekeza udini. Dini haimpeleki mtu peponi bali mema na matendo yake
 
'Nami nikasema nilikua kijana na Sasa ni Mzee, sijawahi kuona mwenye haki ameachwa wala watoto wake kutangatanga barabarani'

Pole sana Komredi Mungu ni mwaminifu ni suala la muda atawavusha salama.
Muhimu msisahau kushukuru kwa kila jambo.
Kwamba wale watoto tunaowaona kila siku wakitangatanga barabarani ni wale ambazo wazazi wao wameachwa na pia wasio na haki?
 
Jirani jioni pita Kona ya Nkuhungu nikununulie supu pendwa utakuwa poa.... halafu nitakuombea😜
 
Pole sana Mkuu! Sometimes tunahitaji hizi moment ili zituandae na mengine ya siku za usoni lakini pia mambo hayo hutuleta karibu na Muumba! Hopefully kila kitu kitakaa mahala pake.
 
Back
Top Bottom