Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
- Thread starter
- #121
Asante jirani, ujue wakati mwingine tunapitia njia ngumu ambazo haziwezi zikatufanya tuepuke maumivu.Jirani nyakati ngumu ni kwaajili ya binadamu wote, Mimi huwa nina msemo wangu kuwa hili ni langu, limenifika na linatakiwa kupita, tofauti ya anayelia na asiyelia ni imani na tumaini.
Take heart brother, Sending hugs 🫂
Leo nimejifunza jambo kubwa sana pale nilipo itazama pesa na haikuwa msaada tena kwangu, bali niliona Mungu ndie pekee anaweza kutuvusha katika hili.