Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
- Thread starter
- #101
Itoshe kusema tu, asante kwa maoni yako mkuu. Ipo siku yaja nawe utajiskia kama nilivyo jiskia mimi na hata familia yetu ilikua ikinitazama mimi ili nitende jambo lakini haikuwezekana.Mzee si ufungue nini kinachokusibu huenda hapa kuna mtu alishapitia the same exactly na jaribu na akapata njia so funguka mtoto wa kiume
Unapo barikiwa kupata mahitaji ya kukidhi familia, pia ukajitunzia akiba kwaajili ya kusaidia familia.... kisha siku moja ukapata maumivu pamoja na familia, wakati huo maumivu hayo yakahitaji maombi ama faraja..... then ninaamini utakuja kuelewa ninacho maanisha.