Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Jitahidi ku move on yaani hii ni dawa tosha kwenye mahusiano ambayo yapo dilemma, yaani kuna kipindi lazima mahusiano yayumbe na hapo unakuta mmoja mapenzi yamepungua au yameisha kabisa basii balaa ndio huwa linaanza hapo
Sasa mfano me nita move on mpaka wapi..
Yaani katika hatua za mwanzo tu unakutana na mambo ya ajabu na move on.. naendelea ku move on.... Mwisho wake wapi...?
 
unpopular opinion, muda mwingine uombee mahusiano uliyonayo Mungu ayasimamie kama hayana kheri yayumbe yafe.

Kuna watu wanaclick vibaya mno unaona hadi unapata wivu, yani hawagombani wanaelewana Hadi sio poa....wakikwazana siku 2 wapo pamoja Ila kuna wengine unaharibu kila unapotaka kuonesha upendo.

Ila Mungu mwema, ni vile hatuoni kilakitu ila kunavitu unaweza kuona amekuepusha navyo ukalia sana.
 
hiki ndicho kinachomtesa kijana hope atapita salama atakuja kumpata wake aliyosahihi atampenda/ watapendana na kusahau machungu yote. hayo atafanikiwa endapo akimshirikisha Mungu wake ampatie aliye sahihi kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unatakiwa utambue kwamba mapenzi hayakuumbiwa kila mtu.

Wewe huenda kipaji chako labda kipo kwenye kulima matikiti achana na mapenzi utakufa siku sio zako.
😂😂😂 Kwakwel inafika stage mpk bado kdg nikufuru
Wacha nicheze na computer tu maana IT ni moja ya ndoto yangu
Jitahidi ku move on yaani hii ni dawa tosha kwenye mahusiano ambayo yapo dilemma, yaani kuna kipindi lazima mahusiano yayumbe na hapo unakuta mmoja mapenzi yamepungua au yameisha kabisa basii balaa ndio huwa linaanza hapo
Kwanini? Mapenzi yaishe nini husababisha?
Mwanangu! We mwananchi eh?
Mi simba wewe
mapenzi ni kama kubet mkuu😂mi nshaacha ndo ivo nikipata mbunye mara mojamoja, mambo yanakaa swafi😂
😂😂😂 Hata hamu ya kuyafanya cpatiii, nimekuwa zuzu wa kudindisha morning tu
 
Mungu ana namna ya kuzungumza na sisi tukiwa kwenye wrong relationship,red flag zote zinapepea Ila sis huwa tunakaza shingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…