Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mbona mnanisingizia hayo mengine 😂😂😂 dada yako kanikimbia kwasababu sina pesaUmemwambia kuwa unatembea na mavi kwenye kiberiti unanusa mda wote maana tetesi ni kuwa huwezi kula mzigo mpaka usikie harufu ya mavi😃
si ndio maana anastazia kakukimbia?
🤣🤣🤣Yupi tena?Et na wewe unamwambini huyo mpenda majoka
hii ya kuachana na kurudiana ni mbaya kweli maana inakuwa ni desturi yao wakielewana ni mwendo wa kuparamiani bila kucheck afya. yaani ni mbaya mimi namshauri tu aangalie mwelekeo mwingine. hapo hapamfai. yeye aamini tu sio fungu lakeKwanza atakuletea magonjwa huyo..hayo Mambo Mara mmeachana Mara mmerudiana Ni hatari Sana.....Kaza inawezekana
watu mna maneno aisee 😂Mungu ana namna ya kuzungumza na sisi tukiwa kwenye wrong relationship,red flag zote zinapepea Ila sis huwa tunakaza shingo
🤓🤓🤓🤓 Anapenda mno adi anasahau mambo muhimu kabisaTatizo yupo deep kwenye shalow water
na sikuzote ukiwa hauhusiki red flags unaziona nje nje lakini ukiwa mhusika unapuuzia.Mungu ana namna ya kuzungumza na sisi tukiwa kwenye wrong relationship,red flag zote zinapepea Ila sis huwa tunakaza shingo
Unampenda Nani ? K Vant ?I hateeeeeeeee my heart, nachukia mapenzi, nachukia upendo, nachukia wanawake
Ila Nakupenda sana, siwezi jidanganya
Sio kweli kwamba ninasauti ndogo ninajua kuwa maisha ynaweza songa but bila furahaanza kujifunza sasa utakuja mshukuru huyo mdau aliyekushauri hivyo. chuki imegawanyika kwa nyanja tofauti. tafuta sababu ya yale maovu aliyokutendea.
tofauti na hapo utakuwa mtumwa wake miaka yote. hata ukimpenda mwingine utashindwa kumjali kwa kumwaza huyo ex wako.
lakini nahisi wewe ni kijana mdogo mbana pua hivi nwenye sauti nyembamba yaani kamwanaume flani hivi kaoga kasicho jiamini. kikimkosa huyo mtoto ndo basi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaaaUtafute sabb ya kumtoa moyoni...udanganye moyo wako tafuta sabb ambayo itakuchukiza kuhusu huyo dada..
Mm na nyeto hapana mkuuNgoja nimuite mwalimu wa nyeto professor Johnnie Walker. Style zake
1. Anapiga na mate au makamasi jina lake ni mzee wa mate 😬 akiiona tu anaitemea mate🤣
sifa zake atazimaliziq mwenyewe
Sawaunpopular opinion, muda mwingine uombee mahusiano uliyonayo Mungu ayasimamie kama hayana kheri yayumbe yafe.
Kuna watu wanaclick vibaya mno unaona hadi unapata wivu, yani hawagombani wanaelewana Hadi sio poa....wakikwazana siku 2 wapo pamoja Ila kuna wengine unaharibu kila unapotaka kuonesha upendo.
Ila Mungu mwema, ni vile hatuoni kilakitu ila kunavitu unaweza kuona amekuepusha navyo ukalia sana.
Et kusema kuwa kaninunia hapa hajawai nitukana, hajawai ninunia ila toka sio lazima uambiweNi ngumu jamani, au ajitahidi kukumbuka makosa ya huyo mtu ndio afanye kuwa sababu ndani ya moyo wake
Oooooky.... kumbe sasa hapa ngoja nikafanye kweli... Sema hawa wa huku kwetu hawapendi kwa navoona mbona wajanja wajanja hivi ?Hahaha wanawake wakikupenda huwa wanapokea chochote unachowapa kwenye akili yao...yaan akili yake unaingoza wewe yeye anabaki anatumia hisia tu.[emoji23]
Pesa sio suluhisho kwanza pesa haikati kiu, namaanisha ipo siku zitaisha mtapalanganakaka naomba nikuulize swali je unamhudumia huyo mdada, I mean Ile unampa 30,40,50 per mwezi?
muda mwingine shida zinaua sana mapenzi, anaweza akakupenda lakini shida zinafanya awe na fulani.
Tena Mungu keshajidhihirisha kumuonyesha huyo sio Ila yye bado anakomaa nae...atulie atapata tuhiki ndicho kinachomtesa kijana hope atapita salama atakuja kumpata wake aliyosahihi atampenda/ watapendana na kusahau machungu yote. hayo atafanikiwa endapo akimshirikisha Mungu wake ampatie aliye sahihi kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyetrooo tenamzee mapenzi yanakusumbua 4+ yrs?? 😂 hapa atakayeweza kukusaidia ni dronedrake peke yake😂
kumbe ipo hivo mkuu... labda sahizi nipo na mtu sahihi maana anaappreciate kile kidogo anachopewa, na nikikosa fresh tu.Pesa sio suluhisho kwanza pesa haikati kiu, namaanisha ipo siku zitaisha mtapalangana
Yere yere ndio Nakaa hapo km Hakimi.Huyo sio ms eyes? Kweli
Ila nikilewa huwa natumia gundi ile ya kienyeji ina leta stimu asikwambie mtuGily siunaona huyu mrembo kabisa
MIMI NATUMIA UDENDA WA KOBE
Akubali tu maneno ya wahenga kisicho riziki hakiliki.......yeye anaweza dhani anamvumilia kumbe Kuna tofauti Kati ya kuvumilia na kupoteza muda.....hii ya kuachana na kurudiana ni mbaya kweli maana inakuwa ni desturi yao wakielewana ni mwendo wa kuparamiani bila kucheck afya. yaani ni mbaya mimi namshauri tu aangalie mwelekeo mwingine. hapo hapamfai. yeye aamini tu sio fungu lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikosa anakupa akikosa unampa hayo ndio mapenzi ogopa mapenzi yanayoegemea upande mmoja ndio uwe unatoa tu unatoa tu yaan hapo kupalangana mda sio mrefu mavumba yakikata lazima mpalangane Ila km mlizoeshana ukiwa na 100,000 unampa akiwa na 100,000 anakupa aaah mtafika mbali saaana niamini mimi,kumbe ipo hivo mkuu... labda sahizi nipo na mtu sahihi maana anaappreciate kile kidogo anachopewa, na nikikosa fresh tu.