ππππ Jf jamaniUmemwambia kuwa unatembea na mavi kwenye kiberiti unanusa mda wote maana tetesi ni kuwa huwezi kula mzigo mpaka usikie harufu ya maviπ
si ndio maana anastazia kakukimbia?
Mungu mmhhhh mawazo yake yapo juuu sanaTena Mungu keshajidhihirisha kumuonyesha huyo sio Ila yye bado anakomaa nae...atulie atapata tu
Ndio ukweli wenyewe ndugu yanguwatu mna maneno aisee π
hii ni kweli kabisa changamoto za vipato kwa vijana zinachangia kwa kiasi kikubwa mahusiano ya mapenzi+ ndoa kufakaka naomba nikuulize swali je unamhudumia huyo mdada, I mean Ile unampa 30,40,50 per mwezi?
muda mwingine shida zinaua sana mapenzi, anaweza akakupenda lakini shida zinafanya awe na fulani.
Mambo vpNatumia asali mbichi mimi ππ
Hahaaa why tall ,dark abd handsomeMapenzi lazima yaishie kwenye maumivu labda mfe wote kwa mkupuo..... usipokubaliana na hilo basi hutozoea...
Enewei
are you tall dark and handsome??[emoji23]
Mambo vp
sisi tumeshsajaribu kila kitu imeshindikana saivi ni mwendo wa 'hit and run' tu πNdio ukweli wenyewe ndugu yangu
The way umemprogram mpenzi wako ndio tatizo namba moja kingine uoga uliopitiliza na kutokujiamini ile ya nikimkosa huyu siwezi mpata km huyu unaishia kuburuzwa buruzwa ovyo ovyo inabidi uwe na msimamo sometime unacho unasema Sina sio mda wote unatoa tu unatoa tu,hii ni kweli kabisa changamoto za vipato kwa vijana zinachangia kwa kiasi kikubwa mahusiano ya mapenzi+ ndoa kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nikilewa huwa natumia gundi ile ya kienyeji ina leta stimu asikwambie mtu
Fresh aisee upo powaa mdogo angu...Poa mkuu vipi
Jibu jepesi tu hapo mbona Wala huna haja ya kuonana na Mungu nitakujibu mimi,Aliruhusu uzaliwe kwa kuwa anajua unaweza kupambana na changamoto za duniani,Ile kupambana tu ukachana Ile placenta basi ulikuwa umeshafuzu koziMungu mmhhhh mawazo yake yapo juuu sana
Ila pia anatuepusha na vitu vingi
Ila Mungu ameacha utumwani natamani nipate hata nusu saa tu nimwone tu nimuulize ni kwanini? Aliruhusu nizaliwe
mvuto unasaidiaHahaaa why tall ,dark abd handsome
"kuvumilia na kupoteza muda" [emoji419]Akubali tu maneno ya wahenga kisicho riziki hakiliki.......yeye anaweza dhani anamvumilia kumbe Kuna tofauti Kati ya kuvumilia na kupoteza muda.....