Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

Trump hajaongea maneno yale, simkubali kabisa Trump lakini yale maneno ya kibaguzi hakuyaongea. Tena yale maneno yalikuwa yananasibishwa kwa Botha kwanza na waliwekwa waafrika tu, na hawakuwepo waarabu. Ila baadae mara yananasobishwa kwa Ttump halafu wameongezwa na waarabu. Kote kwa Trump na Botha yamezushwa tu.

Ni maneno yaliyojaa ubaguzi tu. Watu tu labda na hasira zao wameamua kukaa chini na kutunga kisha wakawanasibishia akina Botha na Trump.
Speech ya Botha it's real na hata alipo kua mahututi kabla hajafa 1997 aliwai kufuatwa na waandishi wa habari wakamuuliza Kama anajutia chochote kwenye Maisha yake ie. Apartheid policy jamaa akawajibu Hana majuto/hajutii chochote

Upande wa,
Trump aliyasema waziwazi likiwa ni jibu kwa prof. Peter Arthur mutharika rais wa Malawi by then.

Huyu alikua ni professor wa Sheria trump alimwambia waafrika wengi wanakuja abroad kwa mgongo wa ELIMU Alafu wakimaliza hawataki kurudi makwao.

Trump alimwita peter mutharika kua ni a DUMB PROFESSOR.

Pia akasema waafrika wapo busy kutukana na kupiga MAKELELE, MATUSI, NA FUJO kwenye social media na wanasahau kua sisi /American wakiamua wanao uwezo wa ku switch off INTERNET hiki kulikua ni kijembe kwa wa Africa kua hatuna our own technology.

Ukitaka ku dig deep ingia mtandaoni utazipata..
 
Toka nilivyoona mhindi anawafungia wabongo ndani na makufuli mazito Ili wasitoke tena na ndani Kuna joto balaa kama jikoni, nkasema Yani Hadi mhindi anafungia wabongo ndani ama kweli tusipokaa tukajikomboa basi tutakuwa watumwa milele...japo mwisho huwa ni jukumu la mtu binafsi lakini lazima kuwe na collective mindset ya kuinuka.
 
Speech ya Botha it's real na hata alipo kua mahututi kabla hajafa 1997 aliwai kufuatwa na waandishi wa habari wakamuuliza Kama anajutia chochote kwenye Maisha yake ie. Apartheid policy jamaa akawajibu Hana majuto/hajutii chochote

Upande wa,
Trump aliyasema waziwazi likiwa ni jibu kwa prof. Peter Arthur mutharika rais wa Malawi by then.

Huyu alikua ni professor wa Sheria trump alimwambia waafrika wengi wanakuja abroad kwa mgongo wa ELIMU Alafu wakimaliza hawataki kurudi makwao.

Trump alimwita peter mutharika kua ni a DUMB PROFESSOR.

Pia akasema waafrika wapo busy kutukana na kupiga MAKELELE, MATUSI, NA FUJO kwenye social media na wanasahau kua sisi /American wakiamua wanao uwezo wa ku switch off INTERNET hiki kulikua ni kijembe kwa wa Africa kua hatuna our own technology.

Ukitaka ku dig deep ingia mtandaoni utazipata..
Leta source hapa Doctor
 
Back
Top Bottom