Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Speech ya Botha it's real na hata alipo kua mahututi kabla hajafa 1997 aliwai kufuatwa na waandishi wa habari wakamuuliza Kama anajutia chochote kwenye Maisha yake ie. Apartheid policy jamaa akawajibu Hana majuto/hajutii chochoteTrump hajaongea maneno yale, simkubali kabisa Trump lakini yale maneno ya kibaguzi hakuyaongea. Tena yale maneno yalikuwa yananasibishwa kwa Botha kwanza na waliwekwa waafrika tu, na hawakuwepo waarabu. Ila baadae mara yananasobishwa kwa Ttump halafu wameongezwa na waarabu. Kote kwa Trump na Botha yamezushwa tu.
Ni maneno yaliyojaa ubaguzi tu. Watu tu labda na hasira zao wameamua kukaa chini na kutunga kisha wakawanasibishia akina Botha na Trump.
Upande wa,
Trump aliyasema waziwazi likiwa ni jibu kwa prof. Peter Arthur mutharika rais wa Malawi by then.
Huyu alikua ni professor wa Sheria trump alimwambia waafrika wengi wanakuja abroad kwa mgongo wa ELIMU Alafu wakimaliza hawataki kurudi makwao.
Trump alimwita peter mutharika kua ni a DUMB PROFESSOR.
Pia akasema waafrika wapo busy kutukana na kupiga MAKELELE, MATUSI, NA FUJO kwenye social media na wanasahau kua sisi /American wakiamua wanao uwezo wa ku switch off INTERNET hiki kulikua ni kijembe kwa wa Africa kua hatuna our own technology.
Ukitaka ku dig deep ingia mtandaoni utazipata..