Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Makubwaaaa we Ben Saanane kwa hali hii utakomboa nchi kweli khaaaaaa..... Nimestuka sana asee
Haaaahaaaa....ndege mjanja
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makubwaaaa we Ben Saanane kwa hali hii utakomboa nchi kweli khaaaaaa..... Nimestuka sana asee
Ha ha ha!
Dada Madame B,tuombe Mungu tu akina Chemba wasimng'oe kucha na meno,LOL!
Kima Mchanga,
Amina.Bahati nzuri Madame B anaendelea na mazoezi makali kujilinda...mimi sasa hivi najimudu kiulinzi kupitia maombi na zana imara
Waapi...hahahahaha, wifi mambo mazuri hayataki harakaWifi.
Hebu ninong'oneze,
mwaka unakata huu, hatuoni unakula ndimu, udongo wala embe mbichi...nini tatizo mama?
Nini mbaya?
Nani kakuroga ili tumkodie matarumbeta na mazeze.
Waapi...hahahahaha, wifi mambo mazuri hayataki haraka
soon utaona nikilisukuma kwa mbele:mimba:
teh teh
Hahaha sweetlady shem wangu mpenzi huyu jamaa akitolewa njee na Red Brigade ataenda magazeti ya udaku
Namuitia [MENTION=34132]Baba V[
/MENTION]
Makubwaaaa we Ben Saanane kwa hali hii utakomboa nchi kweli khaaaaaa..... Nimestuka sana asee
Nimejikuta nacheka bureee...you made my night lol
Kweli mama wa watoto wangu rudisha moyo wako nyuma,,
kama ningeweza kuzirudisha siku nyuma,,hata magoti ningepiga ili nipate wako msamaha,nakusihi upunguze hasira Madame B
we nidanganye nidanganye tu hata kama nikikukuta na Ben Saanane chumbani we nidanganye angalau moyo wangu utulie usiniambie ukweli ningekusihi Madame B upunguze hasiraaa uwe na moyo wa subira,,