Najivunia ushamba na ulimbukeni huu ulinipitia mbali

Mpaka sasa tunaenda vizuri. Shida kidogo inayotupa wasiwasi ni kule kushoto DALOT ana yellow na ndio anamkaba Salah. Kuna dalili ya yellow ya pili kule.
 
Tayariiiiii
 

Attachments

  • Screenshot_20250105_204127_FotMob.jpg
    69.3 KB · Views: 4
Bado tunawabana
 

Attachments

  • Screenshot_20250105_211115_FotMob.jpg
    87.2 KB · Views: 2
Haya mambo kama unavosema kuna kaushamba ndani yake na kuna wengine wanapenda tu kuji post, sifa za kijinga, kutuma salam kwa nzengo na kubwa kuliko yote kutojielewa.
 
Braza gusa,achia twende kwao,tabia alizoelezea mtoa mada automatically ni za kishamba.Halafu watu wote wanaopenda kuongea sana,kujiposti posti na ujuaji mwingi hawa watu IQ zao ni ndogo sana
 

Ahsante Mhasibu kwa machache tumeweza Gundua kuwa

1. Una Gari
2. Una mtoto pia alimaliza form 2 amepata Alama "A" Katika masomo yake

3. Haujafunga Ndoa
4. Una Elimu ya kuunga Unga Hadi kufikia taaluma Yako ya Juu.

5. Unafanya Kazi halmashauri

Naungana na wewe kukupongeza katika aina ya maamuzi uliyochagua kuishi katika maisha Yako ya Kila siku yanafaida kubwa Sana Hongera Sana OKW BOBAN SUNZU Mimi pia ni mmojawapo wa aina hiyo wenzetu ni rahisi kujua wamekula nini Leo kwa kuview status zao 😁 ila ni aina ya maisha pia waliochagua ni jambo zuri pia wao kuwapongeza maana sote hatutaishi milele tufurahie kwa namna tutakayohisi ni sahihi kwetu na kwao pia
 
Mimi mshamba nimeweka Ford Ranger,2.2 diesel engine ya 2017 status ili niliuze jana nimetoa Subaru SH 9 ambayo ishauzwa tarehe 13 ntaweka mazda CX-5 ya Petrol ya 2013 nikiuza natoa status ntaweka Land rover disco 2 ya diesel auto TD 5...
 

Hongera Sana kuwa katika sehemu ya kuishi maisha ulioamua kuchagua.

Kwa machache kurahisisha wasomaji ni kwamba

1. Umesoma Telecom Pale CIVE - UDSM
2. Ukipata alama "A" katika masomo ya physics na chemistry ulipokuwa Advanced level (High school)

3. Ulishawai fika South Africa
4. Siku Chache zilizopita ulikua Dubenga (Dubai).
5. Sio kwamba hauwezi kupiga picha kuonesha wapi ulipo ama mafanikio Yako ni yapi ila umeamua kuishi maisha ya ukimya ..

Naungana na wewe jambo hili linafaida kubwa Sana na ni zuri Sana katika safari ya maisha ya kijana wa kitanzania Endelea kuwa hivi hivi .
 
Ww ni mhaya mkuu
 
Pia kingine wewe ni mnafiki sana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mtu smart sana wewe jamaa pamoja na The Boss, Yoda, Tujitegemee..
 
Mimi mshamba nimeweka Ford Ranger,2.2 diesel engine ya 2017 status ili niliuze jana nimetoa Subaru SH 9 ambayo ishauzwa tarehe 13 ntaweka mazda CX-5 ya Petrol ya 2013 nikiuza natoa status ntaweka Land rover disco 2 ya diesel auto TD 5...

Nimefurahia unavyoandika katika uandishi huu wa magari.. 😁 inaonekana wewe ni dalali ulie serious na Kazi
 
Kiufupi ana MAJIVUNO kuliko hata hao wanaojipost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…