Najivunia ushamba na ulimbukeni huu ulinipitia mbali

Ni muunganiko wa mambo ambayo umeyapitia kwenye ukuaji wako ambayo yanaweza kuwa ya unyanyasaji na ndio yamefanya ubongo wako unashindwa kufurahia maisha halisi
Sasa mi sijapitia unyanyasaji mkuu.
Nani ameninyanyasa sasa
 
Mwasibu umefanya wanachofanya hao ila kwa platform tofauti.

Watu wana flex kitofauti tofauti… Mmeshawahi kujiuliza matajiri na matajiri wenzao wakikutana kwenye social gatherings zao wanaongea nini? wanatambiana nini?

Si ushamba… Kuna levels kwa kila kitu… na walengwa kwa kila kitu.

It’s me, someone ambaye sipost personal staffs kwa status zaidi ya moments/location nayo ni incognito.. Ni lazima utauliza hapo ni wapi….! Napost memes/jokes pia…
 

Chimbuko la furaha au huzuni ni moyoni mwa mtu mwenyewe, hivyo furaha ya mafanikio bado mtu anaweza akabaki nayo mwenyewe maana hata asipoionesha kwa watu itaendelea kuwa ni furaha tu, huitaji justification ya watu kuyafanya mafanio yako yawe mafanikio.

Nakuuliza swali, kwa nini watu hupendelea kupost mafanikio tu zaidi ya mambo ya huzuni?
 
Mm ata kuweka status tu ni shida

Kwa mwaka inaweza kua mara mbili au tatu
 
Sasa bwana muhasibu kwani Jf sio mtandao wa kijamiii? Mbona hapa sasa ushatupostia hayo mafanikio yako!!

Waacheni watu wafanye yale yanayowafurahisha ilimradi hawavunji sheria. Sio ushamba mtu kufanya jambo ambalo wewe hufanyi.
 
Kama unaona unahitaji kukaa nayo moyoni then kinacho kuleta JF kuwalaumu wanao onyesha furaha zao na kuwaita washamba ni nini unaonaje kama ukikaa kimya na uache wengine wafurahie maisha yao kwa amani na wewe ukae na siri zako kwa amani
 
Nimeipenda hii boss
 
Hahah🤣🤣🤣
 
Mie ndio maana kila siku nasema,,. Waache watu wafanye vile wanataka kufanya as long as hawamkeri mtu

Matajiri wenyewe kina Zuck" wanapost kila siku.

Asa wewe ndio umefanya nini?, maana umeandika maisha yako yote hapa tofauti na hao uliowasema ni platforms tu😄🤣
 
Hapana mkuu. Ili kujenga hoja yangu ilikuwa muhimu kufanya hivyo
 
Endeleeni kukaa nayo,.

Tena mie ninavyopenda show off. Chochote tu napost iwe meme, iwe sijui nimetoka out. Nikiwa ofisini tu najipost mda mwingine,.

Na ninaishi vizuri tu, kama kuna ninayemkera animute
Unakera ujui tuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…