Rudisha signature yako hatuioni sasa hivi yaChukua hi rasmi leo kuwa 97% ya Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania, Wachambuzi, Watangazaji na Sports Bloggers 24/7 wananisoma GENTAMYCINE hapa Jamiiforums na Kuchukua Taarifa na Chambuzi mbalimbali za Michezo na Kuzitumia.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Mkuu mbona ipo?Rudisha signature yako hatuioni sasa hivi ya
"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer "
Awali kila comment yako inaonekana chini. Itakuwa umei hideMkuu mbona ipo?
a.k.a "Pira papatupapatu"Dah pira obujekitivu ndo linasepa hivo au
Wewe ni chizi pekee unayejitahidi kubashiri mambo kwa usahihi.Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )
GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Ukiacha ufala kwa michezo uko bienAsante Mkuu.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Na mwaka huu utashinda uanachama bora wa jukwaa la michezo labda haters wako wakufanyie mizengwe charismatic fella πHaters na Hypocrites utawajua tu. Hivi mwaka Jana Klabu ya Yanga SC chini ya Kocha Nabi ilipofanya vibaya Mechi za Kimataifa mpaka Mashabiki na Wanachama wakataka Ajiuzuru au Aondoke huku Wachambuzi na Waandishi wa Habari wakibashiri kuwa atafungashiwa Virago ( Atafukuzwa ) na kila Mtu aliamini hivyo je, alifukuzwa?
Kilichokuumiza ni kuona GENTAMYCINE kaja na Taarifa ya uhakika na niliyojiamini nayo 100% kutokana na Vyanzo vyangu na hatimaye leo Jumanne ( kama nilivyoitabiri ) kile nilichokileta hapa Kimetimia.
Kwani mkikubali tu kuwa GENTAMYCINE ndiyo Mfalme wa Habari za uhakika za Michezo na Masuala Mtambuka ya Kijamii ( katika Jamii ) mnapu gukiwa na nini? Wivu wenu juu yangu utawapelekeni Motoni.
Na kwa Jeuri, Nyodo na Kujiamini nakuja na Exclusive Info nyingine ya Mpira itokanayo na Derby ya Juzi muda si mrefu hapa hapa Jamiiforums na hakuna Mtu Mwingine yoyote yule anayo au anayoijua zaidi yangu Mimi tu.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Haters wa Popoma kazi wanayo! πππWatakukoma mwaka huu na hivyo leo mkeka umetiki... π π π π π
Leo hatalala... π€£The one and only...Charismatic Fella[emoji3]
ππππNa mwaka huu utashinda uanachama bora wa jukwaa la michezo labda haters wako wakufanyie mizengwe charismatic fella π
Jamaa lazima ashinde ana mbinu za CCM, ana ID zaidi ya 400.Na mwaka huu utashinda uanachama bora wa jukwaa la michezo labda haters wako wakufanyie mizengwe charismatic fella π
Nabi ni kimeo kuliko robatinho. Hata huyo ibenge naye ni kimeoNasikia viongozi wa Simba wanamtaka Nabi...
πππ
Punguza chuki na roho mbaya, jamaa alisema wamejifungia Posta, tuambie wewe walijifungia wapi? Roho mbaya kama kutu!
Nikirepoti kutoka bunda mimi ni Genta Cognizant mbilikimo king'ang'anizi wa ITVHaters na Hypocrites utawajua tu. Hivi mwaka Jana Klabu ya Yanga SC chini ya Kocha Nabi ilipofanya vibaya Mechi za Kimataifa mpaka Mashabiki na Wanachama wakataka Ajiuzuru au Aondoke huku Wachambuzi na Waandishi wa Habari wakibashiri kuwa atafungashiwa Virago ( Atafukuzwa ) na kila Mtu aliamini hivyo je, alifukuzwa?
Kilichokuumiza ni kuona GENTAMYCINE kaja na Taarifa ya uhakika na niliyojiamini nayo 100% kutokana na Vyanzo vyangu na hatimaye leo Jumanne ( kama nilivyoitabiri ) kile nilichokileta hapa Kimetimia.
Kwani mkikubali tu kuwa GENTAMYCINE ndiyo Mfalme wa Habari za uhakika za Michezo na Masuala Mtambuka ya Kijamii ( katika Jamii ) mnapu gukiwa na nini? Wivu wenu juu yangu utawapelekeni Motoni.
Na kwa Jeuri, Nyodo na Kujiamini nakuja na Exclusive Info nyingine ya Mpira itokanayo na Derby ya Juzi muda si mrefu hapa hapa Jamiiforums na hakuna Mtu Mwingine yoyote yule anayo au anayoijua zaidi yangu Mimi tu.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo hatalala... [emoji1787]
Nikirepoti kutoka bunda mimi ni Genta Cognizant mbilikimo king'ang'anizi wa ITVView attachment 2806900
Huna unalo lijua ukimeo wa Nabi ni upi? au ni chukiNabi ni kimeo kuliko robatinho. Hata huyo ibenge naye ni kimeo
Kanapenda sifa haka kajitu swala la Robertinho lilikua wazi ilikua ni mda tu ufike hata mimi ningeweza kutabiriMule mule mkuu......
Piga [emoji2923][emoji374]πͺ[emoji3541][emoji3537][emoji373]
Hiyo picha inatisha sana.
Nadhani kuna mahala katika Setting nimechezea au Wachawi ( Haters ) wameanza kufanya yao.Awali kila comment yako inaonekana chini. Itakuwa umei hide
Hakuna wa Kuniweza na Kunishinda.Na mwaka huu utashinda uanachama bora wa jukwaa la michezo labda haters wako wakufanyie mizengwe charismatic fella π