Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

Yamal anaogopa beki ?

Mbona Messi kashawin kuwa stopped mara nyingi tu
Kaangalie Mechi Barcelona vs PSG na Barcelona vs Chelsea ulete majibu. Messi hajawahi kuogopa beki yeyote hapa chini ya jua kuzui
 
Mesi nasikia tu sifa zake ila hajawahi kunishawishi kwa lolote.

Kwa kuongezea,

Mpaka mwisho wa dahari hakutakuwa na bingwa kuliko wengine.
 
Ukiambiwa uchague most skilfull player kati ya JJ Okocha,Neymar na Gaucho unaenda na nani?

Mimi; Okocha,Gaucho kisha Neymar.
Gaucho alikua hachezi mpira, ila ana uchezea mpira.
 
Kuna ila faulo aliwafunga Liverkuku pale Camp NOU ukimwambia mtu ile ni AI wala hataweza kubisha, yule mtu alizaliwa kwa ajili ya soka na Antonella Rocuzzo tu basi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmh acheni uongo bhana, ile foul mie niko nayo kwa cm, ni hivi yule mchezaji wa mwisho aliukwepa mpira usimgonge usoni, sio kwamba messi alipiga angle nzuri mwenyewe binafsi.

Endapo ule mpira ungemfikia yule mchezaji na asinge ukwepa wala lisingekua goal. Lol
 
Umemsahau neymar hapo.. ni kiboko zaidi kwenye skills, ila hakuuchukulia mpira kwa adabu sana, shida alikuwa mtu wa show off zaidi kuliko maelezo hiki kimemuharibia sana, ila kwa skills ni bora zaidi ya hao wote.
Neymar ana skills kuliko Gaucho? Acha zako bas, khaaah.
 
Mbona km sifa za gaucho umempa neymar, sijaelewa.
Muache Gaucho wa watu, Neymar mwenyewe atakukatalia unachoandika hapa.
 
Halooo! Mtizamo wako lakini kama hujataka kuzua taharuki
 
Mbona km sifa za gaucho umempa neymar, sijaelewa.
Muache Gaucho wa watu, Neymar mwenyewe atakukatalia unachoandika hapa.
Neymar ni fundi zaidi, ukisoma hapo utaelewa..
Tafuta clips za neymar na za gaucho utaona neymar ana skills zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…