Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Mimi Bado sjasnza kupigwa simu
 
Siku hizi wamebadilisha utaratibu kumbe.
 
Usione wanakupigia wanakatwa nshahara ayao kazi moja ya kishenz yaan kila mfanyakazz ana cust wake mdada mmmoja alilia mbaya nsaidie kaka nakatwaa mshahara
 
Dooh Sasa wao walijuaje au ndo udhalilishaji wenyew?
Wanakuzushia tu kama kukukomoa ili uwalipe.
Kuna wengine walitangazwa hadi FB wanajiuza.
Kuna sista mmoja anakaa Mabibo walichukua picha zake wakaunda account ya FB kuwa anajiuza na wakaweka na no zake za simu.
Kidume nikasema embu nijaribu heee kumbe muhanga wa hao kina mkopo fasta😂😂😂😂😂😂😂😂.
Hata hajiuzi dada wa watu.
Sasa unashangaa mtu ameshakudhalilisha unamlipa ya nini?
 
Aisee 😄
 
Hata ukifuta namba naskia haisaidii
Inasaidia mkuu.
Nisikilize kwa mara ya mwisho,futa application yao pia futa email adress yako unda email adress mpya ikiwezekana Google account yote badilisha.
Halafu kwenye simu yako kuna sehemu imeandikwa "block unknown contacts". Hapa namba yeyote ambayo hujaisave inablokiwa hawakupati kwa simu.
Ila sms wanaweza kukurushia.
Sasa ukiona sms nazo zinakusumbua ifungie laini kwa muda wasikupate kama miezi miwili hivi.
 
Chexea kote sio oya balaaaa
OYA wanakufata tu nyumbani kaka.
Nimewakopa na nimebakiza deni la elfu 98 kumaliza mkopo wao.
Na watu wamewalalamikia kuwa wanavyowafata na magari inawadhalilisha, kwasababu mkopo ni suala binafsi la mtu.
Sasa hivi wanakuja kwa miguu na wanakuja kimya kimya mnadaiana kimya kimya.
 
Application nishafuta

Labda hiyo ku block unknown contact ndo sjui Iko wapi walau niwa block kwa muda huku nkiwataftia pesa Yao taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…