Mkuu Dawa yao ni Watanzania wengi kuyakopa na kutolipa tu, tuone watadhalilisha wangapi. Mbona kampuni za simu zinakopesha na hazidhalilishi mtu?Hii ipoje kisheria, kumdhalilisha mtu kimtandao si ni kosa la jinai? Kukopa na kuchelewesha deni ni kosa la madai
Je mkipambana mahakamani nani ataumia? Akijitokeza mtu mmoja akawanyoosha hata hiyo mikopo wataacha kukopesha
Muogopeni ni mwizi 🤣🤣🤣🤣🤣Kama hauna mshipa wa Aibu haitakuwa na maana. Ila kama unao lazima uwe na aibu na utaumia nafsi.. Wanakutengenezea group ambalo member ni ndugu zako(ulo save namba namba zote) wanaweka na maneno makali sana (kama Tapeli, muogopeni ni mwizi)
Wanakuadd kwenye group pamoja na watu wako wa karibu, wanakuweka dp na kuanza kukusimangaWiki iliyopita si ni li kopa pesa x ikawa natakiwa nirejeshe pesa nusu mara mbili ndani ya siku 14 yani kila baada ya siku Saba nirejeshe.
Sasa rejesho la kwanza lilikuwa jana ila cha moto nakipata! Aloo najuta, sio kwa meseji hizo ninazotumiwa!
Kwani nisipolipa watanifanya nini tofauti na kuwapigia wadhamini wangu?
Pia soma: Nape: Tumewaagiza TCRA wachunguze wale wanaodhalilisha watu waliowakopesha Mtandaoni
Futa app yao.Nifanyaje ku kuwanyima access ya contact za simu yangu
We usilipe maana ndio nia yako ila na wao wakikukomoa usije na uzi hapa wa kulia lia na kuomba ushauri wa kisheriaSasa itasaidia nini wakishanitengenezea Hilo group la what's app??
HAMASISHA 'KAMPENI KOPA NA USEPE' Big up!!☑️Mkuu Dawa yao ni Watanzania wengi kuyakopa na kutolipa tu, tuone watadhalilisha wangapi. Mbona kampuni za simu zinakopesha na hazidhalilishi mtu?
Mimi nimekopa kampuni 2 sijawalipa, nimewafundisha watu wangu wa karibu kuyakopa. Mpaka yafunge huduma zao za kitapeli.
HAMASISHA 'KAMPENI KOPA NA USEPE' Big up!!☑️Mkuu Dawa yao ni Watanzania wengi kuyakopa na kutolipa tu, tuone watadhalilisha wangapi. Mbona kampuni za simu zinakopesha na hazidhalilishi mtu?
Mimi nimekopa kampuni 2 sijawalipa, nimewafundisha watu wangu wa karibu kuyakopa. Mpaka yafunge huduma zao za kitapeli.
Wana namba zao kupitia simu yako; si ulikubali wakati unajaza mkataba kwamba wanaweza kutumia taarifa zilizomo kwenye simu yako?Ndugu zangu watawajuaje😅
Hii sio sifa bali ni kuharibia watu wenye uhitaji wa kweli wa hiyo mikopo.Mimi nimekopa kampuni 2 sijawalipa,
Usiwalipe, hao wanatakatisha pesa kupitia hivyo viapp.Wiki iliyopita si ni li kopa pesa x ikawa natakiwa nirejeshe pesa nusu mara mbili ndani ya siku 14 yani kila baada ya siku Saba nirejeshe.
Sasa rejesho la kwanza lilikuwa jana ila cha moto nakipata! Aloo najuta, sio kwa meseji hizo ninazotumiwa!
Kwani nisipolipa watanifanya nini tofauti na kuwapigia wadhamini wangu?
Pia soma: Nape: Tumewaagiza TCRA wachunguze wale wanaodhalilisha watu waliowakopesha Mtandaoni
Siwakumbuki jina ila baada ya Taasisi kuilipa wakafuta picha na Msg walizotuma na Admin aka left group( Alotuunga group).Alikopa kwenye kampuni gani?
Nikifuta app Yao hawatakuwa na uwezo wa ku access contact zagu kweli?Futa app yao.
Nimekopa elfu 78 natakiwa kurudisha laki na elfu nne na usheeSiwakumbuki jina ila baada ya Taasisi kuilipa wakafuta picha na Msg walizotuma na Admin aka left group( Alotuunga group).
Wana wadanganya watu hoo riba ni asilimia tatu tuu au moja akalu hayo makato ndo balaa.. ina maana wao waita riba ya elfu 50 ni elfu 4 ila wanachokupa kwenye 50 ni 32 si upumbavu huo.
Hata hapa jamaa anaweza toa ushahidi alikopa ngapi na walompa ni ngapi na wanataka arudishe ngapi, yaani utacheka.
BOT imetoa tamko Hilo lini?Usiwalipe, hao wanatakatisha pesa kupitia hivyo viapp.
Sasa BOT imewapa siku 14 wajisalimishe na wasajiliwe kwa reguration za BOT, baada ya hapo app zote za watakatisha pesa zitazimwa.
Kwahiyo tembea kifua mbele, kwa style yao ya kudai pesa usiwalipe waache wavimbe wapasuke mwisho wao umefika.
Sina pa kutafutia iyo ela mambo yangu kwa Sasa yapo zigzagTafuta hela uwalipe Tu kulinda heshima yako!!
Utawadhurumu wao watakuchafua Kwa watu wako wa karibu uonekane kituko!!
Ambayo uliitoka cash n elfu 78?Nimekopa elfu 78 natakiwa kurudisha laki na elfu nne na ushee
Usiogope kilngozi, wakati unakopa walikupatia Na ilikusaidia sasa hapa chagua moja Kati ya haya mawiliNAJUTA Mimi jamani najutaaa