Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

Hahahahahahaha nimecheka kweli

Nani kawaambia mkae uswazi huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niliwahi kaa na mjomba wangu mmoja hivi wakati wa likizo maeneo ya temeke huko aisee ilikuwa kero .

Alipanga kwenye nyumba ya jamaa fulani hivi Sasa

Mwenye nyumba anamtoto mmoja huyo mchafu chafu aaargh

Mkiwekewa msosi kwenye sinia kasharukia aisee daah unatamani kutapika

Tukawa tunamviizia yuko mbali ndio tunakula[emoji1787][emoji1787]

Uswazi nuksi sana
 
Duuuh!! Basi tunatofautiana sana aisee. Mie marafiki zangu ni watoto na wamenizoea sana. Nikipika kama wako around nawajumuisha kwenye msosi nawaita tunakula wote.

Kuna siku rafiki yangu mmoja alinitembelea, wakati wa kuandaa chakula nikawa naandaa kingi, akauliza why naandaa chakula kingi, nikamwambia walaji ni wengi pia, hakunielewa. Wakati wa kula nikawaita rafiki zangu tukala wote. Basi zile fujo fujo zao rafiki yangu yuko "haki una moyo, mie ningeshawatimua zamaaani" [emoji1787][emoji1787]
 
Labda masharti ya Mganga
 
Mimi natamani nipate hao watoto ili walao wacheze na mwanangu
 
Na ww unaonekana mswahili huna haja ya kupiga vijembe kupitia muziki ili wakuelewe!!
mm kama ningekuwa ww. Na nina hela huyo mtoto wa jirani angekuwa anakuta nimemuwekea mabakuli ya nyama.
Umenena vema mdau.shida siyo uchoyo wa dogo.shida ni je,unakomesha vp hili.Huyu ni mtoto mdogo,we mpe tuu atafika sehem anashindwa kuyabugia mwisho anabaki kuyaangalia tuu
 
Watoto 3 alafu hujaoa! Hebu tuanzie hapo maana huyo binti wa kazi asijekuwa anapiga mazoezi kidogo ya umama nyumba[emoji12][emoji14][emoji14][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Very true. Tena ukiondoka anakuja na huyo mwanaeja kula Hapo Hapo kwako. Anacheza na saikolojia ya Housegirl. Beki 3 akizubaa angongwa chumbani kwako
Kuna jamaa jirani alikua anapiga housegirl wa Tajiri wa kichaga ana maghorofa kariakoo ile anaondoka tu asubuhi kwenda kariakoo jamaa anatimba mjengoni.
Anagonga akichoka anaenda kuoga na kuandaliwa chai...akishiba analianzisha
 
Dawa yake akigonga usifungue...... Mtu akigonga uliza Nani?? Ukijua niyeye usifungue na washa kabisa redio
 
Yaani umekimbia tatizo badala ya kulitatua,!! Sasa ukirudi atakurukia kwa bashasha kwani atakuwa amekumiss wewe na tv ysko
 
Ndugu ishu sio msosi, ishu ni huyo mtt umempa chakula kikatokea cha kutokea ww utaelezea nn kwa wazazi wake? Kuna jamaa yang alimpa mtt wa jiran chakula wee mtt aliumwa na kapimwa ikaonekana kala chakula chenye sumu, jamaa kakaa segerea miaka miwili
 
 
sema mtoto wa kiume kuingilia masuala kama hayo sio kweli

Afu unaempigia iyo hit em up unaeza kuta hata darasa la saba hajafika

Dunia njia, ishi na watu simple hujui kesho yako
 
sema mtoto wa kiume kuingilia masuala kama hayo sio kweli

Afu unaempigia iyo hit em up unaeza kuta hata darasa la saba hajafika

Dunia njia, ishi na watu simple hujui kesho yako
Muziki NI vibe. Hata Bibi yangu wa kule kijijini kwetu Isunga Chupi akisikia Hit Em Up hata Kama hajui maneno, beat na tune ya Sauti atajua
tu alll is not all.

Hit em up inakimbiza Hadi mapepo wachafu FYI.

Hilo gereza la kushindwa kufanya maamuzi yenye manufaa yangu kwa kuogopa kusemwa " mtoto wa kiume hafanyagi hivyo" nimeshafunguliwa muda mrefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…