Najuta kumpa ndugu yangu PS (playstation), kawa kama Teja

Kuna ticha mmoja alinunua kipindi hicho nimepanga next kwake..kila nikipita naona viatu, sendo na raba kama msikitini yaani karibu walimu wote walikuwa addicted mpaka saa saba usiku nasikia kelele na walikuwa wanakula mikate sana nahisi walimix na kamari maana sio kwa addication ile..nusura shule ifungwe ilibidi uongozi uingilie kati
 
Haya mawazo ya Kijinga. Hakuna kitu kisicho kibaya duniani ikiwa kitapitiliza. Kuna watu wanavuta ugolo au bangi mpaka wanakuwa mateja. Utasema freemason? Kuna watu wanapenda ngoma mpaka basi....miaka yetu sisi watoto walikuwa mpaka wanapotea kwa mdundiko wala si freemason. Waswahili mkishindwa kufikiri jibu rahisi ni freemason.
 
Pamoja na kukulia mjini lakini nimeishia kuona bro na dogo wapo busy na hizo mambo, binafsi sijawahi kujihusisha nayo hiyo ps hata kwa nusu dk ni sawa na movies tuu siwezi kukaa na kuangalia kabisa
 
Hawatoki room ni Ronaldooo🤣🤣🤣
 
Ukimuachisha chap, atapata matatizo ya akili
 
Kwani haya magame yana raha gani juzi nimeona graduate mmoja katika zawadi alipewa option mbilii achague kati ya iPhone 14 na ps5 aka chagua game dadeki
Simu za wanawake,ps za wajubaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huko kwenye hizo Ps kuna game zipi hasa ukiondoa fifa..mana wengine mpira ushatupitia kushoto.
Na kila nikienda kwenye ps wengi hucheza hizo fifa kitu kilichonifanya niondoe interesna Ps.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…