Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Ulienda likizo? Kuna black ops cold war ulicheza kweli?oh
mbona unataka kunirudisha mwamba maana akina Captain Price sio poa [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulienda likizo? Kuna black ops cold war ulicheza kweli?oh
mbona unataka kunirudisha mwamba maana akina Captain Price sio poa [emoji2]
Kiukweli siwezi hukumu ktk hili,[emoji1787][emoji1787]
kwahiyo asimuhukumu sana dogo wengi tumepita huko
Ndo maana mimi nilishagoma kununulia wanangu haya mavitu. Sitaki hata kusikia.Vijana wa KiChina walikuwa addicted na hii kitu mpaka serikali ikaingilia kati
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka kwa nguvuKwanza nimpata wazo,
Ngoja nifanye mpango nirud kwenye magame maana Hizi mbususu Sasa zitakuja kunitoa roho.
Mwenye game za mpira aje pm tufanye biashara
Samahani, hivi wewe ndio Mathanzua ??Mkuu ni freemason na agenda zao za siri. Walianzisha haya magemu kimaksudi tu. Haya ma whatsapp TikTok, fb, tinder l, mastercard, visa, visa electron, fifa, worldcup, epl, dstv, KFC, McDonald's, Netflix, western union etc ni wao. Yani freemason wanavuruga sana akili za madogo. Haya magemu ya ps Smart911 anayajulia sana.
Hello and welcome, my name is Derek rae and coming to you with the commentary position is Martin Tyler.Unamsikia tu Martin Toiler😂😂
Sure bro, kipindi hicho nafuata pesa ya mshkaji nacheza kuanzia saa tatu usiku mpaka kumi na mbili asbh, kila sk but nikaja kuizoea now niko normal tuu labda itokee sk umemc kuchezaI have been there, namna nzuri ni kumuachia acheze mpaka hamu imuishe.
Akimaliza hapo yeye mwenyewe ataona ni kitu cha kawaida.
Inahitaji kumvumilia kweli.
Mimi nilikuwa nakesha na sio utani yaani kuanzia asubuhi mpaka asubuhi tena (hii ni literally na sio figuratively)
Ila sasa hivi ninaitazama hapa hata wiki inapita sijacheza game
Hawajui tu utamu wake.Hello and welcome, my name is Derek rae and coming to you with the commentary position is Martin Tyler.
Ziko nyingi mkuu ipige screenshot hiyo yenyewe sasa.Uzuri mimi kwenye issues za magemu toka niko form two namiliki kinokia button nilikuwa naweka games za brain challenge. Hazina addiction kabsa
Sahivi niko na game linaitwa elevate. Mwaka wa tatu huu kila nikiamka linaniletea task tofautitofauti. Mfano mathematics, speaking skills, writings nk. Ndio najinoa hivyo.
Nendeni playstore '' Elevate ''
Bro ps5 iyo ni biashara tosha kabisa mzeeKwani haya magame yana raha gani juzi nimeona graduate mmoja katika zawadi alipewa option mbilii achague kati ya iPhone 14 na ps5 aka chagua game dadeki
Unacheza kuanzia EPL world cup, UEFA yaani kila uchafu tena FIFA 23 ni motoYana Raha yake sio kidogo hasa kama ni mpenzi wa mpira, huwa Kuna ligi kabisa
Uongo mbona hadi Ulaya kuna tounarment za PlayStation na bingwa ni Dhtekkz hata wachezaji mpira wanacheza sana na wanajicheza hadi zikitokea Rating wengine hulalamika Kuwa wameshushwa uwezoMkuu ni freemason na agenda zao za siri. Walianzisha haya magemu kimaksudi tu. Haya ma whatsapp TikTok, fb, tinder l, mastercard, visa, visa electron, fifa, worldcup, epl, dstv, KFC, McDonald's, Netflix, western union etc ni wao. Yani freemason wanavuruga sana akili za madogo. Haya magemu ya ps Smart911 anayajulia sana.
Kubance tu mimi nmeenda sana competition grand apo Posta na sijadisco tena akili yako inakuwa fasta mno kama ukijua gameHuyo akienda huko chuo itakuwa balaa. Asije akarudi ame disco
Hapana, haiwezi chukua miakaAkiachiwa acheze Hadi imkinai hapo inategemeana na mtu Sasa, wengine Hadi iwakinai ni Baada ya miaka.
Hili tatizo nimejaribu ku google linaitwa gaming addiction, ni tatizo kubwa sana hili.
Nadhani inabidi dogo apelekwe bush huko hakuna hata UMEME akae miezi 6 hivi
Huyo sio Mathanzua mkuu,Mathanzua ni mimi ila namuunga mkono 100%,yuko sahihi kabisa.Hayo mavitu ni ya kishetani na Freemason ndio wanaotumiwa as agents kuyaingiza kwenye jamii ili kuwatenganisha Wanadamu na Mungu wao.Kama Wanadamu we must be smart and say no to that nonsense.Samahani, hivi wewe ndio Mathanzua ??
Huwezi kinai game sababu kila mwaka wanatoa game mpya yenye features tofauti na ukijua lazima utaanza tafutwa na mabingwa mpime uwezo inakuwa BattleAkiachiwa acheze Hadi imkinai hapo inategemeana na mtu Sasa, wengine Hadi iwakinai ni Baada ya miaka.
Hili tatizo nimejaribu ku google linaitwa gaming addiction, ni tatizo kubwa sana hili.
Nadhani inabidi dogo apelekwe bush huko hakuna hata UMEME akae miezi 6 hivi