Najuta kumpa ndugu yangu PS (playstation), kawa kama Teja

Kwanza nimpata wazo,

Ngoja nifanye mpango nirud kwenye magame maana Hizi mbususu Sasa zitakuja kunitoa roho.

Mwenye game za mpira aje pm tufanye biashara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka kwa nguvu


BTW jasiri haachi asili,unaweza kuinunua na bado ukaenda kuicheza na mama j
 
Samahani, hivi wewe ndio Mathanzua ??
 
Sure bro, kipindi hicho nafuata pesa ya mshkaji nacheza kuanzia saa tatu usiku mpaka kumi na mbili asbh, kila sk but nikaja kuizoea now niko normal tuu labda itokee sk umemc kucheza
 
Uzuri mimi kwenye issues za magemu toka niko form two namiliki kinokia button nilikuwa naweka games za brain challenge. Hazina addiction kabisa.

Sahivi niko na game linaitwa elevate. Mwaka wa tatu huu kila nikiamka linaniletea task tofautitofauti. Mfano mathematics, speaking skills, writings nk. Ndio najinoa hivyo.
Nendeni playstore '' Elevate ''
 
Ziko nyingi mkuu ipige screenshot hiyo yenyewe sasa.
 
Kwani haya magame yana raha gani juzi nimeona graduate mmoja katika zawadi alipewa option mbilii achague kati ya iPhone 14 na ps5 aka chagua game dadeki
Bro ps5 iyo ni biashara tosha kabisa mzee
 
Uongo mbona hadi Ulaya kuna tounarment za PlayStation na bingwa ni Dhtekkz hata wachezaji mpira wanacheza sana na wanajicheza hadi zikitokea Rating wengine hulalamika Kuwa wameshushwa uwezo
 
Hapana, haiwezi chukua miaka

Kumpeleka bush ni kuzidi kuiongeza shauku yake

Nimesema apewe mpaka akinae kwa maana moja

Kinachopelekea uraibu wa dogo ni ile kutokujua kila kitu kuhusu hilo game yani shauku, ila anapolicheza mpaka akawa anajua kila kitu hapo hakuna tena shauku na ndio mzuka unapotea hivyo

Hapo unakuwa umemaliza mzozo once and for all
 
Samahani, hivi wewe ndio Mathanzua ??
Huyo sio Mathanzua mkuu,Mathanzua ni mimi ila namuunga mkono 100%,yuko sahihi kabisa.Hayo mavitu ni ya kishetani na Freemason ndio wanaotumiwa as agents kuyaingiza kwenye jamii ili kuwatenganisha Wanadamu na Mungu wao.Kama Wanadamu we must be smart and say no to that nonsense.
 
Huwezi kinai game sababu kila mwaka wanatoa game mpya yenye features tofauti na ukijua lazima utaanza tafutwa na mabingwa mpime uwezo inakuwa Battle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…