Najuta kumpa ndugu yangu PS (playstation), kawa kama Teja

Wale Old-Timers, sio kwa umri bali old timers kwa haya mambo bado wanaikumbuka Dangerous Dave back in 1990's and early 2000's!!
Kwa hii game umenikumbusha mbali sana 😅
Ivi ilikuwa ni kama mtu anaruka ruka hivi sio 😃 uraibu wa hizi mambo umeanza zamani sema sahv unazidi kuongezeka tu
Pc yetu ilikuwa kuwaka mpaka uwashe na funguo kwenye cpu pale 😆 kwahio maza akiona mnazingua alikuwa anazificha kama adhabu
Haya madude noma aisee unakaa na ps sa4 asubuh ukija fungua pazia sa1 usiku imeshafika
Sasa hv nimekuwa mtu mzima ubongo umekuwa wamoto haya mambo nimeweka pembeni kidogo
 
Hayo madude sijuagi yana raha gani,kuna mijitu huku ikianza kucheza mjue ni hamlali kwa kelele nakereka basi tu. Hamna hata kuoga wala kusaidia kazi ni migemu tu siku nzima.
 
Mkuu umeniacha hoi....eti Ronaldo with the ball but all in all wengi tushawahi kuwa wateja wa hii kitu mi nilkua nakesha but ikafika kipindi unaona kawaida
 
Hayo madude sijuagi yana raha gani,kuna mijitu huku ikianza kucheza mjue ni hamlali kwa kelele nakereka basi tu. Hamna hata kuoga wala kusaidia kazi ni migemu tu siku nzima.
Wala usiwaite "Mijitu" bali ninachokushauri ni kile kile... USIJARIBU! PC/Video Games zina addiction ya ajabu kuliko unavyodhani.

Thanks God, binafsi zilipoanza hizi games za kisasa nilikuwa nimeshajinasua tayari na kwa sasa naziogopa kama ukoma ingawaje siku moja moja, yes, nacheza hizi minor za kwenye simu!
 
 
Bhana eh, jana si nimefanya mistake! Badala ya kumwelezea hapa Dangerous Dave, si nikadhani kwa hivi sasa si lolote si chochote... nikai-download!

Ingawaje nimecheza mara ya mwisho angalau miaka 15 iliyopita lakini utamu wake upo pale pale ingawaje pia uki fail level, karaha ya kuanza mwanzo nayo ipo pale pale!

Soon nita- uninstall!!
 
Hayo madude sijuagi yana raha gani,kuna mijitu huku ikianza kucheza mjue ni hamlali kwa kelele nakereka basi tu. Hamna hata kuoga wala kusaidia kazi ni migemu tu siku nzima.
Nitakufundisha siku moja
 
Kelsea,

Ulikuwa unajaribu kuongea nini kwenye hiyo post yangu?! Naona tu ume-quote lakini hujaandika chochote!!
 
Alafu naona watoto wa kiume ndio mko na addiction sana na hizi vitu. Hawa wa huku bado ni wadogo wadogo wapo shule likizo huwa wanakuja huku napoishi ukisema ufiche wanashinda wanalia siku nzma hawawezi hata kula kwa hiyo nawaacha tu.
Kuna muda nazima umeme makusud wanashinda kama wagonjwa huwa nashangaa sana. Wazazi wao wanajuta kuwanunulia hayo magemu sijui nini kifanyike kuwanusuru.
 
Hello and welcome, my name is Derek rae and coming to you with the commentary position is Martin Tyler.
"Hellow and welcome to the grand theater old trafford the home of manchester utd my name is Peter Drury i'll be with my co-commentator Jim Beglin" hapo kulala ni saa 6 usiku
 
Of course, jinsia ya ME ndo wachezaji wakubwa wa hizi games. Hata hivyo, games sio mbaya kiasi hicho, muhimu ni kutokuwa addicted ingawaje usipoji-control ni rahisi sana kuwa addicted.

Nasema sio mbaya kiasi hicho kwa sababu zipo baadhi ya games ambazo zinasaidia sana kuchangamsha akili ya mtoto. And trust me, akizitumia vizuri kwa uangalizi wako, usishangae mtoto kama huyo kesho na kesho kutwa anakuwa Computer Programmer huku akiwa amekuwa influenced na games.
 
There is any connections between Ps and Evil.
 
Upo sahihi rafiki. Ninachowaza unahisi nini kifanyike kupunguza huu uraibu maana hali inazidi kuwa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…