Watu waelewe CC ya gari ikiwa kubwa na rank la mafuta nalo linakuwa kubwa.Mkuu, gari za 1500cc (ist, ractis, raum) ndio zina tank capacity ya lita 42, ila gari za 2500cc (mark x, crown, brevis) tanki lake ni lita 70.
BMW X5 ya 3000cc ina tanki la lita 95.
Umenifanya nicheke sana asubuhi hii daah..Duh, 21ltrs kwa ki scooter changu si mwaka mzima hiyo😂
Ahahahah dah yan mkuu hiyo gari yako bei yake uliyonunulia isingeweza hata kununua Laptop yangu brand new 😂😂😂.Nilichukua brevis kwa bei ya kutupa 2m mbona niliuza laki nane gari full tank njombe tunduma haitoboi hio si rosa mazei?
Baba mwenye gari anajuta lakinHongera baba mwenye gari.....
Niambie mkuu pana Mteja nilimletea Ford ranger hapo daslm nipe namba yako inbox nimpe akipata changamoto akuone maana niliwahi kumletea X 5 kitambo nimeichukua nimeikuta na matatizo kama haijawahi kwenda kwa fundi wakati ni mtu wa kuwapa mafundi gari sema walikua wanamuibia tu.Lita 40 ni gari ya Cc 1000...
Hamna gari yenye Cc2500 halafu tank lita 40
Hakika kuna watu mnaishibkwa gharama kubwa sana..Mbona hiyo gari nzuri labda kipato chako ndo duni njoo tubadilishane na Nissan patrol 4500cc diesel......ndo utajua kwamba mjini kuna watu wanaishi kwa gharama kubwa.
Imekuwa loriIna maana chuma inaenda 4.5km kwa liter moja😅😅
Gari sio big issue 😀😀Ahahahah dah yan mkuu hiyo gari yako bei yake uliyonunulia isingeweza hata kununua Laptop yangu brand new 😂😂😂.
Sure man siku hiz gari ni kitendea kaz kama ilivyo simu ya mkononi tu.Gari sio big issue 😀😀
Juu ya maweHiyo gari ilimsababishiaga presha mstaafu mmoja ambaye alikuwa hajazoea kukimbizana na public transport...
Baada ya kustaafu akamuomba nduguye amtafutie gari Japan, kikaja hicho chuma 😂, halafu mstaafu anaishi nje ya mji...
Chuma kiliishia kukaa juu ya mawe, mstaafu akawa rafiki na watu wa taxi...
Mkweche huo😆Imekuwa lori
Kwahiyo wewe kila siku huwa unatembea km 100?🤔Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.
NB: Kupenda 'show-off' kumenitokea puani.
Discovery TD 5 110 , Mercedes E 350 60Chief iyo limit wewe umeitolea wapi.
1. Toyota Kluger 2005 tank capacity ni 70ltrs.
2. Prado 150 - 87ltrs
3. Land cruiser 110 ltrs
4. Brevis 70ltrs
Hizo ni gari ambazo nina experience nazo mini binafsi upande wa fuel tank capacity.
Hajui kitu huyo.Mbona mimi Carina yangu tena Ti ina Tank ya lina 60 sasa kwa Brevis kuwa na lita 70 mbona kawaida mkuu
Niambie mkuu pana Mteja nilimletea Ford ranger hapo daslm nipe namba yako inbox nimpe akipata changamoto akuone maana niliwahi kumletea X 5 kitambo nimeichukua nimeikuta na matatizo kama haijawahi kwenda kwa fundi wakati ni mtu wa kuwapa mafundi gari sema walikua wanamuibia tu.
Huu ni uongo wa karneMnanunua gari zikiwa vimeo mnakuja kuzibatiza majina ya ajabu ajabu,
Yaani 70 litres ushindwe kutoboa kilometa zisizozidi 250???
Hiyo gari ikiwa full tank unatoboa Dar Makambako vizuri kabisa kama ni nzima.