Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

Wamarangu hawana dharau, Bali wamekwenda shule, inferiority complex ndio inakufanya unaona wana dharau.

Umezoea kukutana na Warombo waliojaa majikoni kuchoma nyama.
Wewe umetokea Nyasa wamarangu na warombo umewaonea Dar. Sisi tumeoa huko na tunakaa nao.
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu 😢 😭 😿 😢 😭

😢 😭 😿 😢 😭 😿 😢 😭 😿
Sio wachaga wote wako ivyoooo ....mm ni mchaga tena wamarangu mbona siko hivyo. Lakin wamachame nawarombo mmmhhh sijui
 
Jamani wakuu hapa watu wengi naona wanampinga mleta Uzi, kiukweli kwa uelewa wangu mdogo wamachame Wana roho mbaya mno na nina ushaidi kabsa kuna mdada wa kimachame ni shida mno alishajaribu kummaliza jamaa sema jamaa nae kwao ameaga yupo vzur wala msibishe kama hamuamini basi mkawaoe muone cha moto
 
Aisee kama nakuona vile anayoweka sumu amenuna na hamjagombana.

Mademu wa huko.kabila zote siwaelewi asipokuuwa kwa sumu unaweza kufa kwa stress ni wabaya sana.

Nadhani ndo maana wakishaolewa wakirudi kwao hawatakiwi kuishi nyumbani na watoto wao.


Pole sana mkuu.
 
Sometimes linyota linaangukia tu. Naona hii jamii ya Kanda ya Kaskazini Nina nyota nayo lakini kataza mno. Nimedate na Marangu mbabe sana hana unyenyekevu. Sasa naangukia Kwa Mrombo. Mrombo anakubalika mno kama wife material pia mpambanaji mno.
 
Back
Top Bottom