Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

Oya mkuu unatupa mashaka mzee fanya uendelee kureply isije kuwa ndo ushalala yooo
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu 😢 😭 😿 😢 😭

😢 😭 😿 😢 😭 😿 😢 😭 😿
Kunywa maji kaa kivulini relax halafu utuambie yaliyokukuta. Hatuwezi kukuelewa kwa mhemko ulionao
 
Mleta mada unataka kuuliwa kwa sababu zipi?
mali gani ulizozazo wakati unaonekana ni kapuku wa kutupwa!
Utakuwa unajiloga mwenyewe kwani maskini huwa halogwi!
 
Umeamua kudhalilisha kabila kwa story ya uongo. Hiyo ni police case umeripoti???
Mali gani uliyonayo mpaka dada wa kaskazini akuue wewe. Hakuna hizo tabia hata ukisikiliza news makabila mengine ndio wanauana rarely wa kaskazini. Tafuta hela uwe na akili.
Kwani wwe unajua Wachaga wanauwa kuanzia Mali ya kiasi gani hadi unazarau malalamiko ya mwenzio kisa Mali zake chache!!!!??
 
Mkuu hizi pisi za kichaga tuachieni wachaga mkuu wewe kagera na moshi wapi na wapi asee utauwawa Man.
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu 😢 😭 😿 😢 😭

😢 😭 😿 😢 😭 😿 😢 😭 😿
Wewe mwenyewe ndio una shida, mkiambiwa tulieni mwombe Mungu awasaidie mnajifanya mnajua kila kitu
 
Ungeorodhesha mali ulizonazo kwanza, pengine tungejarib kuona km unafaa kuuwawa kweli au unajikweza tu hapa
 
Back
Top Bottom