Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

Wachaga wengi wale wa 40+ ni wajane ukifika rombo ndo utajua ninachomaanisha halafu hizi mambo ya kila mwisho wa mwaka kurudi kwao bila waume zao ni kuendeleza michepuko kama mimi kuna mmoja kaolewa ila kaenda kuhesabiwa ameniambia kabla ya kurudi tukutane nipewe tunda kimasihara kweli kabisa unaoa mchaga mi washikaji zangu wachaga hakuna hata mmoja aliyeoa mchaga.
 
Mtoa mada anaonekana Yuko ktk stress Kali Sana, msimdhihaki mpeni USHAUR wa kumjenga
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu 😢 😭 😿 😢 😭

😢 😭 😿 😢 😭 😿 😢 😭 😿

Hakuna mwanamke anaweza kukuwekea sumu ufe mapema hivyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wanaume mara nyingi hutangulia kufa...... Na wewe Kufa utakufa sawa, lakini unaacha kitu gani????

Tuanźie hapo kwanza💃💃💃💃💃💃
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu 😢 😭 😿 😢 😭

😢 😭 😿 😢 😭 😿 😢 😭 😿

"Tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa"

Wewe mwenyewe ona hapo juu, ni kichaa
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu [emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24]

[emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24] [emoji80]
Chai[emoji2][emoji2]
 
Umeamua kudhalilisha kabila kwa story ya uongo. Hiyo ni police case umeripoti???
Mali gani uliyonayo mpaka dada wa kaskazini akuue wewe. Hakuna hizo tabia hata ukisikiliza news makabila mengine ndio wanauana rarely wa kaskazini. Tafuta hela uwe na akili.
 
wanawake wa kaskazini wengi wamelelewa ktk mifumo dume unahitaji akili na nguvu sana, Nadhani wewe ndo umeolewa hapo hao wanaitwaga mamanzi sio wale wa vijora vya rangi ya chuichui, siku hizi wasukuma wanawaoa sana wachagga kuna vitabia vinaendana.
Hili ni kweli mkuu
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu 😢 😭 😿 😢 😭

😢 😭 😿 😢 😭 😿 😢 😭 😿

Hao Tuachieni Sisi Wababe wa World cup
 
Ukikutana na mchaga kabla ya ndoa uliza kwanza Ni mchagga wa wapi.
Kuna wale wazuri Sana wa sura, watam balaa lakini.......
Wamarangu tatizo lao Wana dharau Sana.
Ukioa Rombo wewe ujuwe una mke, Tena mke wa maana. Wachapa kazi, wavumilivu halafu hawana makuu. Wakibosho sitawasemea maana sijaoa huko.
 
Kwa akili hizi nashindwa kuelewa ilikuaje wakakuchelewesha kukuua..
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu 😢 😭 😿 😢 😭

😢 😭 😿 😢 😭 😿 😢 😭 😿
Rubbish.
 
Mwanaume ukitaka mafanikio basi owa mchaga achana na hizi ngonjera.

Tena hata hadithi za wachaga wa machame ni wale wa zamani ndio wana kashfa ya kuuwa waume zao lakini hiki kizazi jipya kipo tofauti sana.

Msipende kuowa wanawake akili bongo lala.
 
Kuna vidume ni dhaifu sana wallah!! Wapo wanawake kama wewe ni dhaifu usijaribu hata kuwa boyfriend tu, utaumia. Wapo strong mentally, wana akili ya maisha...
 
Ukikutana na mchaga kabla ya ndoa uliza kwanza Ni mchagga wa wapi.
Kuna wale wazuri Sana wa sura, watam balaa lakini.......
Wamarangu tatizo lao Wana dharau Sana.
Ukioa Rombo wewe ujuwe una mke, Tena mke wa maana. Wachapa kazi, wavumilivu halafu hawana makuu. Wakibosho sitawasemea maana sijaoa huko.
Wamarangu hawana dharau, Bali wamekwenda shule, inferiority complex ndio inakufanya unaona wana dharau.

Umezoea kukutana na Warombo waliojaa majikoni kuchoma nyama.
 
Wadada wa marangu wanafahamika kwa nyodo, hilo mbona lipo wazi. Sisi tunalijua miaka mingi, hakuna wanawake wazuri wa sura na shape katika wachagga wote kama wamarangu
 
sina uhakika na mtoa mada kama stori ya kubumba hivi, ila mimi siwezi kuoa mikoa hiyo , zaidi zaidi ikitokea ntawazalisha tu , nina mifano mingi ya wanaume wa wakichaga walioa wanawake wa kichaga na kufa vifo vyenye maswali mengi sana na nina marafiki wengi wa kichaga wamegoma kuoa huko sijui shida nini, lakini kwenye familia yangu wapo wajomba na baba zangu wadogo walioa wanawake wa kaskazini waliopata shida na kupoteza kabisa heshima ya kuwa mwanaume, mimi what can i do nikikuta mchaga na kuzalisha tu , ila ndoa hapana ,ukipata mwanamke wa kikinga aliyetulia utafurahia maisha mama anapambana kuliko wewe baba
 
Wadada wa marangu wanafahamika kwa nyodo, hilo mbona lipo wazi. Sisi tunalijua miaka mingi, hakuna wanawake wazuri wa sura na shape katika wachagga wote kama wamarangu
Unaposema sisi unamaanisha ni wewe na nani?

Nawajuwa Wamarangu na naijuwa Marangu, Mwanamke yeyote ni wewe tu mwanaume approach yako.

Lakini kama Kabila lako lilipigana vita vya maji maji lazima Wamarangu watakudharau, Chief Marleare alikataa kutowa askari wake kwenda kupigana vita ile kwa kudanganya watu risasi inaweza kugeuka maji, ni makabila duni na ya wajinga ndio yalipigana vita vya majimaji.
 
Back
Top Bottom