Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

Wamarangu hawana dharau, Bali wamekwenda shule, inferiority complex ndio inakufanya unaona wana dharau.

Umezoea kukutana na Warombo waliojaa majikoni kuchoma nyama.
Wewe umetokea Nyasa wamarangu na warombo umewaonea Dar. Sisi tumeoa huko na tunakaa nao.
 
Sio wachaga wote wako ivyoooo ....mm ni mchaga tena wamarangu mbona siko hivyo. Lakin wamachame nawarombo mmmhhh sijui
 
Jamani wakuu hapa watu wengi naona wanampinga mleta Uzi, kiukweli kwa uelewa wangu mdogo wamachame Wana roho mbaya mno na nina ushaidi kabsa kuna mdada wa kimachame ni shida mno alishajaribu kummaliza jamaa sema jamaa nae kwao ameaga yupo vzur wala msibishe kama hamuamini basi mkawaoe muone cha moto
 
Aisee kama nakuona vile anayoweka sumu amenuna na hamjagombana.

Mademu wa huko.kabila zote siwaelewi asipokuuwa kwa sumu unaweza kufa kwa stress ni wabaya sana.

Nadhani ndo maana wakishaolewa wakirudi kwao hawatakiwi kuishi nyumbani na watoto wao.


Pole sana mkuu.
 
Sometimes linyota linaangukia tu. Naona hii jamii ya Kanda ya Kaskazini Nina nyota nayo lakini kataza mno. Nimedate na Marangu mbabe sana hana unyenyekevu. Sasa naangukia Kwa Mrombo. Mrombo anakubalika mno kama wife material pia mpambanaji mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…