Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

Uyo mganga ndio mmewake wa utotoni hivyo wanakuja kukomba mali zako kua makini unaenda kugeuzwa msukule soon

Ni Mimi kavyinabhuhiye kutoka simiyu
 
Acha akunyooshe mkuu.
 
Wanawake wa kanda ya ziwa inatakiwa na wewe ujue kugangamala ,mbona sie wengine tuna enjoy tu,,, sema kama ni mlamba lips hutawaweza hao wakipandisha na we unapandisha ukilegeza imekula kwako,,,...ukiwajulia una enjoy tu mbona
 
Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa
Tatizo wewe ulipenda Msambwanda washikaji tulipokushtua ukasema tusikuingilie Mapenzi yako


Hizi tabia alikuwa nazo tangu awali lakini ukasema Muhimu kwako ni Sura na shape. Tabia mtavumiliana.

Sasa usije kudhalilisha wanawake wazuri wa kanda ya ziwa kwa sababu ya uzembe na Nyege zako.
 
Umeoa watu wa Musoma au Ukerewe wewe hiyo imemtokea mshikaji wangu. Na alimhudumia sana hiyo demu. Kamfungulia duka, kampangia nyumba na Kodi alikuwa analipa moaka nikawa namshangaa Mtu ana duka bado unamlipia Kodi hiyo biashara monthly unamwongezea hela ajaze mzigo, na mahari alipotoa kama 3 M na kila weekend demu alikuwa anataka msosi wa Pizza Hut. Na mambo mengi ya luxury mengi sana. Lakini hiyo demu ni kiburi sijapata kuona. Pole sana Mkuu next time punguza mihemko Fanya utafiti wa kutosha kabla hujamchukua Mwanamke wankuishi naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…