Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi vitu havinaga formulaMbona "mimi" nimeoa mwanamke kutoka "far away".
Ila tuko poa kabisa.
Au na mimi nishauri vijana wasioe mwanamke anaetoka karibu na kwao.
hasibu bwana ushauri wako siku hizi unaniacha hoi 🤣Ni vizuri ungekuja nae humu JF tuwasikilize pande zote 2. Itaepusha kukupa ushauri ilhali kuna mambo umeficha
Acha akunyooshe mkuu.Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee
Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee hawa wanawake.sio poa kabisa ila nanideclare interest sio wote ila.most of them ni hizo yaani ukimuoa kama wewe si mtu na kabila lao utakiona chamtema kuni dadeki sio poa kabisa
Kwanza ameenda kwao kwa sababu ni mgonjwa ila.sasa wakati wakurudi.amenipa masharti eti natakiwa kurudi na mganga wa kienyeji kisa eti kwasababu yeye ni mgonjwa hatakiwa kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee anatakiwa kubeba dawa eeeeh whaaat? It is madness.😧😧
Sijaona watu hawa wana hasira balaa yaani yeye kurusha ngumi kwenye kawaida sasa najiuliza angeolewa na mkabila mwenzie angefanya huu ujinga? Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa
Mtu anakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi? Na unatoka tarehe ngapi?😧😧 and then anauliza nipe namba ya muuza duka wako for what? Hawa watu kwa ushirikina usiseme ni hatari sana aisee yaani kabisa anataka kuja na mganga wa kienyeji kisa eti hatakiwi kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee mbebaji huu si ushirikina huu?
Isitoshe huu binti ni mdogo sana sasa amejuaje yote haya? Sio kama yuko coaching na ndugu zake?wanataka kuniua? Au wanataka kunikama nisiwe na kauli kwa huyu binti yao?
Najuta na i'm going to divorce her
Wanawake wa kanda ya ziwa inatakiwa na wewe ujue kugangamala ,mbona sie wengine tuna enjoy tu,,, sema kama ni mlamba lips hutawaweza hao wakipandisha na we unapandisha ukilegeza imekula kwako,,,...ukiwajulia una enjoy tu mbonaKwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee
Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee hawa wanawake.sio poa kabisa ila nanideclare interest sio wote ila.most of them ni hizo yaani ukimuoa kama wewe si mtu na kabila lao utakiona chamtema kuni dadeki sio poa kabisa
Kwanza ameenda kwao kwa sababu ni mgonjwa ila.sasa wakati wakurudi.amenipa masharti eti natakiwa kurudi na mganga wa kienyeji kisa eti kwasababu yeye ni mgonjwa hatakiwa kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee anatakiwa kubeba dawa eeeeh whaaat? It is madness.😧😧
Sijaona watu hawa wana hasira balaa yaani yeye kurusha ngumi kwenye kawaida sasa najiuliza angeolewa na mkabila mwenzie angefanya huu ujinga? Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa
Mtu anakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi? Na unatoka tarehe ngapi?😧😧 and then anauliza nipe namba ya muuza duka wako for what? Hawa watu kwa ushirikina usiseme ni hatari sana aisee yaani kabisa anataka kuja na mganga wa kienyeji kisa eti hatakiwi kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee mbebaji huu si ushirikina huu?
Isitoshe huu binti ni mdogo sana sasa amejuaje yote haya? Sio kama yuko coaching na ndugu zake?wanataka kuniua? Au wanataka kunikama nisiwe na kauli kwa huyu binti yao?
Najuta na i'm going to divorce her
Tatizo wewe ulipenda Msambwanda washikaji tulipokushtua ukasema tusikuingilie Mapenzi yakoKwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa
Kumbe wanyantuzu wachawi sana? Si wasukuma hawa?Wanyamtuzu mkuu
Kwa hiyo unataka kumfundisha mwenye maumivu namna ya kulia?Malalamiko ya wanaume yamekuwa ni mengi sana shida Nini mbona tunajizalilisha sana mitandaoni
Hahahaa.....hii kaliHuyo anakuja na mchepuko wake uchapiwe hapo hapo ukitoka kwenda kazini. Hawa jamaa ndivyo walivyo. Anauita huo mchepuko mganga.
Yes, Kataa Ndoa ni utapeli!KATAA NDOA NI UTAPELI
Umeoa watu wa Musoma au Ukerewe wewe hiyo imemtokea mshikaji wangu. Na alimhudumia sana hiyo demu. Kamfungulia duka, kampangia nyumba na Kodi alikuwa analipa moaka nikawa namshangaa Mtu ana duka bado unamlipia Kodi hiyo biashara monthly unamwongezea hela ajaze mzigo, na mahari alipotoa kama 3 M na kila weekend demu alikuwa anataka msosi wa Pizza Hut. Na mambo mengi ya luxury mengi sana. Lakini hiyo demu ni kiburi sijapata kuona. Pole sana Mkuu next time punguza mihemko Fanya utafiti wa kutosha kabla hujamchukua Mwanamke wankuishi naye.Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee