Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

umeandika kwa feeling ila ndoa raha yake uoe mtu wa kabila lako hii globa imekuja kuvunja hii mipaka ya muungiliano but wazee wa zamani ndoa zao zilikuwa hivyo na zikadumu.

afrika bado tunazo mila na desturi kama mila zao ndiyo hizo jiandae kupigwa kipapai.

oa kwenu
 
Huyo ni mkeo na sio mke wa jf. Hadi kufikia hatua mkeo anakurushia ngumi ameshakupima akaona haujai hata kiganjani. Hata ungeoa mzaramo angekuwa anakuchamba kila uchao na taarab juu
 
Poleni sana wote kingine jitahidi kuwa mkali nyumbani kwako acha kukaa kijinga utateseka wewe mungu alimuumba adam na hawa hakumuumba adam na huyu jiangalie wewe
 
Ulioa pepo
 
Kwanza ncheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aisee ni masikitiko. Pole kaka πŸ˜‚
 
Tatizo lenu hamsikii.

Kila siku tunaimba humu, KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI hamsikii.

Haya pambana na hali yako.
 
VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE
 
Simple. Kama wewe sio mlugaluga basi usioe mlugaluga sababu ndege wafananao huruka pamoja.

Kwangu kama mwanamke anaamini uganga na uchawi basi tayari ni low-quality. Not my type.
 
Hapo uiposema ni mrahisi kurusha ngumi inathibitisha kabisa huyo mwanamke huwa anakutembezea kichapo.

Kwa mwanaume kamili ni kosa la jinai kurushiwa ngumi na mwanamke na akirusha ngumi kitakacho mkuta huyo mwanamke hatarudia tena maisha yake yote.
 
Nacheka kama mazuri vile ..

Umeoa mchawi, utazaa wachawi...

Ulimpendea weupe wake Sasa penda na uchawi wake...
 
Pole mkuu!! Ni msukuma ? Au Mtusi ? Au Mnyatunzu ? Mim wa Kanda ya Ziwa ila nimeoa MBENA, wabena wako poa sana na ni wachapakazi sana.


Piga chini nenda ubenani
Masahihisho hakuna kabila la wanyantuzu hapa Tanzania ila tuna wasukuma wanaotokea ntunzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…