Najuta kutembea na wallet! Sitorudia kuweka pesa kwa wallet kamwe!

Kwanini umezoeana na wezi?
 
mkuu unayajua vizuri maumivu ya kupuliza uji bila kitafunwa siku 20 kwa mwendo wa siku za shuleni...? hayaelezeki mkuu
Hahahhaha maisha haya watu si watu alafu kinachoniuma ni wanangu πŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
 
Aiser tena nimewapiga tafu mno mkuu kama huyo mmoja katoka mkoani mm ndo nilimpokea nikampa na michongo town lakini aiser Acha tu yy si wa kunifanyia hivi
Wimbo wa Benja wa abo jambo.Umenitoka kdogo
 
i nikibebaga pesa nyingi Kwa mfano nilikuwa Nina desturi nikiwa. A pesa nyingi kiasi naziweka kwenye bag but Hilo begi lazima nilivalie kufuani yaani silibebei mgongoni hata siku Moja πŸ˜„πŸ˜
wewe kukabwa ni rahisi sana, kubeba begi kifuani automatically tu watu wanajua huu ulinzi mkubwa lazima kuna mzigo
 
wewe kukabwa ni rahisi sana, kubeba begi kifuani automatically tu watu wanajua huu ulinzi mkubwa lazima kuna mzigo
Hamna weweee watu wanajua Mimi dent 😁

Na enzi hizo nilikuwa bado sijajipata usafiri dala dala so how comes nivae begi mgongoni wakati nipo ndani ya dala dala , unaweza kukuta begi limepigwa wembe na pesa zote hazipo πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…