Najuta kutembea na wallet! Sitorudia kuweka pesa kwa wallet kamwe!

Walete ushawahi kunilaza ubalazan
Nimetoa ATM nikatia ndani nikaenda kwa jamaa yangu

Sasa nikabanwa na haja nikaingia msalan ule msalan ulikuwa wa shimo kama mnavyojua Ile nimemalza kuwasilisha bajet nasimama tu ngoma ikachomoka mfukon na kuzama kunako

Aisee Ile siku sitaisahau

Kuanzia siku Ile nilijiapiza walet haitakaa tena mfukon mwangu
 
dah boarding kwa moto, shuleni kwetu sijui watu walikuwa wananusa hela? hata ukiweka hela kukiwa giza tiii ukaificha chini kabisa ya tranka ukaibana na nguo, still unakuta siku ya pili hela imeibwa, jumlisha huo ugeni i feel you huo mwezi ulivyokuwa
Ilikuwa ni mbaya, watu hawana hata huruma aisee
 
Nawalivyo washenzi pesa yako wanaenda kuinywea pombe!😳😂😂😂
 
Wallet sinaga mazoea yakutembea nayo kabisa kwanza sipendi naona najiongezea mzigo tu,
ila siku nimetoka nayo tu kikaniramba elfu 60 yangu na vitambulisho juu, kilichoniokoa mfuko wa mbele niliweka 40 ila mpaka leo nikikumbuka roho inauma sana.
Nikimuona Masai anatembeza wallet namuona ka mchawi
 
Mi natembea na waleti hela kubwa elf tano tu huwa hela zangu nawekaga mfukoni
 
Wallet haina maana, nilidondosha wallet yangu ina kadi ya bank, ya mpiga kura, id ya nssf, nida, leseni ya gari na hela juu. Mbaya zaidi kulikuwa na dawa alizonipa mganga humohumo vyote vikaenda, tangu hapo sinunui na sitanunua tena wallet.

Aliyevumbua wallet akamatwe apigwe miti
 
Pole, shida sio waleti, shida una marafiki wezi.
 
Sasa hapo wallet ina kosa gani? Ina maana siku ukipata ajari utaacha kabisa kusafiri?
 
Unakaa na wana halafu huwatoi hata kidogo,wakati wanajua upo njema,umekosea sana ungewatoa kidogo,wasinge fanya hilo mkuu,jamaa huwa wanaridhika na pesa ndogo sama hata wekundu mmoja tu ungeatosha.
 
Ni bora upoteze hela kuliko vitambulisho na kadi za bank..
Kadi za bank si unaomba nyingine tu, kitambulisho cha kazi siku moja unapata. Labda ule usumbufu wa kufata process zote ukilinganisha na thamani ya muda wako.
 
Hahqhhaha oya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…