Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Huu si ubinadamu, huwezi mfungia mwenzako nje kisa nyumba ni yako, hii tabia ni za akili za kimaskini. Katika maisha yangu, sitaki dhulma kabisa. Kama umechangia kwenye mali hata kama ni nyumba, chako utakipata. Yaani tungejua kama utu ni zaidi ya mali hakuna binadamu angemfanyia mwenzake ubaya.

Kwa ushauri tu, ni vyema kila mtu awe na umiliki wa mali yake, kama mmeamua kuwa na mali ya pamoja iwe kwa maandishi. Hakuna kumuamini mtu siku hizi maana nafsi zimakuwa mawe
 
We zarau zikizidi nenda mahakamani, Kama vipi pauzwe si umechangia na mmefunga ndoa, Kama mnaishiishi tu pagumu, japo mahakama wanaweza kusema Mali za watoto, Ila kumchemsha tu zarau zinapozidi.
 
Oa wewe inatosha. Tuache unafiki watanzania
Sasa kati ya Mimi na ww nani mnafiki hapa mkuu?

Fatilia hiyo conversation iliyokuwepo kati yangu na huyo jamaa, alaf angalia ni wapi Mimi na yeye tumetoleana lugha kali. Hapo ndio utajiona ulivyo mnafiki, maana umedandia Convo za watu, alaf unajifanya kukunja sura 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…