Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke


Utajua mwenyewe, utaamua unaiangalia ndoa katika angle ipi.
 
Wanaume kama ninyi ndiyo mnafanya wanaume wote tuonekane maboya.
Hiyo nyumba siyo ya kwako ila ulichangia kwenye ujenzi wa nyumba ya mke wako.
Hati ya kiwanja ni ya mwanamke, unategemea nini?

Hii ilitakiwa upige kimya, ujipange kwa mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…