Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Watoto watatu tangu tuanze mahusiano ni miaka 11 sasa na kwenye ndoa ni mwaka wa 4 ila mwaka jana mwishoni ndo bundi kapita

Sent using Jamii Forums mobile app
Msiachane, huo ni upepo tu umepita; unaweza kutafuta part time/mchepuko wa kukuweka bize pale mtakapo tofautiana na mwenzio, ila usivinje ndoa.
 
Kama hakuna andiko litakalo-support hiki ulichoandika basi NDOA ITABAKI KUWA NI UTAPELI MKUBWA SANA....Kwa maana huwezi kusema kwamba kumtawala mwanamke yakupasa mwanaume kuwa na pesa,,vipi kwa wanaume wenye uchumi wa chini? [emoji848]

Hapo ungama na [mention]dronedrake [/mention] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Usikatae ndoa bali ishi nao kwa akili sana...
 
Kama ni mke halali kisheria na unataka kuchomoka na kumkomoa, nenda mahakamani omba divorce na mgawanyo wa mali zote, acha kulia lia

Hapana

Me nlishasema mwanamke akiniletea zengwe namuachia nyumba nasepa zangu
Kwanini niishi kwa mateso na shida ?
 
Tatizo lenu mnapuuzia nyuzi za wa dau humu JF, mpaka likukute ndo ushtuke, mwanamke sio mwenzio hata uzae naye watoto 10. Watu wamepitia mengi mpaka kuandika nyuzi humu.
Uko sahihi sana,JF imenifanya kuwa stable sana kwenye mahusiano yangu,mwanzoni nilijua yaliyokuwa yananikuta mimi nilidhani niko peke yangu,ila nimegundua majority ya wanaume wana maumivu
yanayofanana...
 
Nimepata fundisho mi kama itokojr........

Sasa naitafsiri ndoa kama UTAPELI

Kipindi nnanunua eneo la kujenga mzee aliandika jina lake baada ya langu
Siku naenda kufata ile hati ya mauziano nakuta jina lake...nkasema tu ah mzee aje au alisahau ...anyway nkapotezea zangu



Ila sasahiv naelewa Na pengine service zote nkatumia majina yake...

Unapotaka kuowa mkuu make sure una kitu mkononi na unajiweza kidogo kiuchumi
Kitu pekee nnachoweza kukuambia mkuu ni hiki

Asikudanganye mtu eti kuna mwanamke atakupenda wewe et umekaa tu ndani
Fedha ndio hasa heshima ya mwanaume
Tafuta fedha jijenge mwenyewe
Wale wanawake wakusema tuowane tutajenga pamoja
Wa mwisho kufanya hivyo alikua ni mama yako pekee
Hawa wengine wanataka uwe na kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…