Najuta kuzaliwa kwenye familia ya kilokole

Sawa..
Sijakukimbia Anne nlpotea kidogo na dunia huku naingia kwa kudokoa
Huu wito unatoka kwa Mungu. .na utakurudisha tu toka huko ulipo.
Japo naona unaamua kuukwepa. . ila hakuna namna unaweza kukwepa.
 
Kweli penye miti hakuna wajenzi,Kuna wanaojuta kuzaliwa na wala ndumu.
Utakuta historia inajirudia,labda huko nyuma
kuna mtu aliishi maisha kama hayo unayoishi.Na wewe utajikuta unazaa mtoto mlokole
utake usitake,ni historia itajirudia tu.
 
Wanawake hata akiwa ni mlokole, kama humgongi vizuri, atagongwa tu nje. Mbona ni kawaida tu wake wa Wachungaji kugongwa na mabaharia? Hata wewe biological father wako ni BAHARIA
 
Ishi utakavyo ila kila uamuzi una matokeo yake.
Fahamu hakuna binadamu ambaye anaweza akajitenga na kushi yeye kama yeye, ipo sku kwa namna moja au nyingine utawahitaji hao unaofikiria unawakomoa.
 
Mimi naona kijana analalamika tu. Hakuna kitu bali full kulalamika. Ukiwa na miaka 13 ukatoka home, tupe maisha baada ya kutoka home, ulienda wapi?

Usije tu ukasema maisha yaliharibika kwa sababu baba mlokole.
 

1 NYAKATI. 28:9
Nawe, Sulemani mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa moyo mkamilifu, na kwa nia ya kumkubali; kwa kuwa BWANA hutafuta-tafuta mioyo yote, na kuyatambua mawazo yote ya fikira; ukimtafuta, ataonekana nawe; ukimwacha, atakutupa milele.

MITHALI. 22:6
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.

EZEKIELI. 33:1-.......
Neno la BWANA likanijia, kusema, Mwanadamu, sema na wana wa watu wako, uwaambie, Hapo nitakapoleta upanga juu ya nchi, watu wa nchi hiyo wakimtwaa mtu mmoja miongoni mwao, na kumweka awe mlinzi wao; ikiwa, aonapo upanga unakuja juu ya nchi hiyo, apiga tarumbeta na kuwaonya watu; basi mtu awaye yote aisikiaye sauti ya tarumbeta, wala haonywi, upanga ukija na kumwondoa, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.

Aliisikia sauti ya tarumbeta, wala hakuonywa; damu yake itakuwa juu yake; lakini kama angalionywa, angalijiokoa roho yake.

Bali mlinzi akiona upanga unakuja, kama hapigi tarumbeta, wala watu hawakuonywa, na upanga ukaja ukamwondoa mtu awaye yote miongoni mwao; ameondolewa huyo katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwa mlinzi huyo.

Basi wewe, mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi kwa nyumba ya Israeli; basi ulisikie neno hili kinywani mwangu, ukawape maonyo yangu. Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.
Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.



MZAZI KAMALIZA KAZI YAKE, IMEBAKI KWAKO
 
KUZALIWA FAMILIA YA KILOKOLE HAKUKUFANYIKUWA MLOKOLE.

YESU ANASEMA "AAMINIYE NA KUBATIZWA ATAOKOKA" wokovu unakuja kwa kusikia, na kussikia neno la Mungu.
 
Ishi utakavyo ila kila uamuzi una matokeo yake.
Fahamu hakuna binadamu ambaye anaweza akajitenga na kushi yeye kama yeye, ipo sku kwa namna moja au nyingine utawahitaji hao unaofikiria unawakomoa.
Simkomoi mtu I'm just living my life vile nataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…