Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Mleta mada kama bado una kiu ya kusagwa mm nipo tayari kukusaga na kukuingizia liboro tamu kote kote.
 
Kama ni mtoto wa paroko ni shiidaa nyingine maana paroko haruhusiwi kunyandua wala kuwa na mtoto.
Kwa hiyo hapo malezi ni zero kabisa kwa huyo mtoto.
 
Ndio maana wewe sio Mimi. Sioni haya kwa Yesu, amenikomboa sasa niko huru.
Yeah uko huru kweli, maana akiamua kukubadilisha anakubadili mazima, nawajua Watu ambao walikua zaidi yako, Sasa Ni watumishi wazur Free from sins
 
Hongera sana kwa ujasiri na kurubu pia!!
Kwahio saivi umeokoka kabisa na kuacha huo uchafu??
 
Hicho chuo ulichosoma ukawa free kufanya hayo yote bila kuwa discontinued nazani nicha binafsi , ila pole mabinti acheni tamaa sichokiamini ni usagaji huku una mabwana wengi labda kama ulikuwa na pepo la ngono
 
Mhh kweli ulikua mwanafunzi au mhalifu? Kwa matukio yote uliotenda. Nadhani dhambi zimekuzidi umri.
Kweli hufi kabla ujajitakasa.... Zidisha maombi kweli ulitenda makubwa ya maovu...
 
Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
Kwa Nini?usiombe Kuna mabinti walikuja vyuoni watakatifu bwana weee ..waliyokuja kuyafanya mpk shetani alikua anashangaa,Hawa watoto wanaolelewa kwenye dini wakipinda wanapinda kweli kweli
 
Mwanaume yoyote ambaye ameoa mwanamke wa chuo basi ajue ameoa bomu siku yoyote litakuja kulipuka wale walitakiwa wawe single maza tu.
Sio wote wako waliotulia usipende ku-generalise mambo, Kuna watu wameoa wanawake ambao sio wachuo na ndo zimewashinda
 
Kama hujapitia maisha ya Chuo utasema ni Chai...
ila ukwel Mabinti wanaharibikia chuo
Anabanwa akiwa mdogo mpaka anakua akifika Chuo anautumia uhuru sawa sawa..
Nilikuwa na rafiki yangu Home kwao akilud likizo hata hatoki wanamlinda ila chuo anaishi kwa mshikaji😂😂😂unabaki kucheka tuu
 
Wote ni watenda dhambi, cha msingi ni kutambu makosa yetu,kutubu na kuacha.
 
Ebu nipeleke kwa mganga na mie nipata dawa ya kuvutia pisi kali.
Kuna mganga Magu ana mizizi ukitafuna huku unamsemesha mtoto wa kike yoyote lazima akubali kukufuata,labda tu kwa mcha Mungu.
Unaweza hata kumlaza kwenye mkeka hata kama katoka kwa waziri.
 
Kuna mganga Magu ana mizizi ukitafuna huku unamsemesha mtoto wa kike yoyote lazima akubali kukufuata,labda tu kwa mcha Mungu.
Unaweza hata kumlaza kwenye mkeka hata kama katoka kwa waziri.
Ebu nipe huyo mnganga huyu Kelsea lazima aisome namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…