Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujawahi kuwekwa kwenye 0713 sema halellujahNitakupeleka kwa Yesu akakuondolee hamu ya uzinzi
Pole sana, kuna siku utaelewa, tena kuzaliwa kwenye dini ndio hatari zaidi sababu shetani anataka watu wa aina hiyo.Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
Inawezekana ni kweli, mimi nilivyoanza maisha ya ubachela kila kitu nilitaka nijaribu.CHAI hii umei design uonekane umeshafanya kila kitu duniani something which is not possible hata kama ni uongo kwa njia ya kutoa fundisho mkuu haiwagi hivi.
Unachagua kakipengele kamoja una deal nako kupikia CHAI zako sasa wewe umebebe zote
Usagaji wewe
Umalaya wewe
Bangi wewe
Madawa ya kulevya wewe
Ushirikina wewe
Aah mkuu tupumzishe basi