Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Hivi mimi sielewi wasagaji...kwani mwanaume hawezi kukusaga?
Si unamwambia tu mimi napenda ufanye hivi, au kuna vitu mwanamke anaweza mwanaume hawezi?
Tena advantage ya mwanaume anakusaga na ukuni anakuchomeka.
 
Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
Pole sana, kuna siku utaelewa, tena kuzaliwa kwenye dini ndio hatari zaidi sababu shetani anataka watu wa aina hiyo.
 
Mimi nilijifunza kwenda buguruni usiku mida ya sa nne nne
 
Inawezekana ni kweli, mimi nilivyoanza maisha ya ubachela kila kitu nilitaka nijaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…