Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Pepo lako lilikuwa Hatari, yaani unasgana na unapigwa Pipe kama Kawa, Mpaka Msagaji unaenda Kuroga kupata Bwana


Hapa Kwa kweli Shetani alikuwa anasubiria sana
 
Mzunguko lazima ukamilike. Adhabu kwako au wanao
 
Mbona kipengele cha kutolewa marinda umekiruka
 
"Ukweli utakuweka huru",ubarikiwe sana kwa kuwa muwazi na kufunguka wazi wazi.

Andiko lako liwe kama "shamba darasa" kuwafungua akili jamii juu ya uozo uliopo vyuoni unaofanywa na watoto wao.

Mkuu, mfumo huo wa maisha uliokukandamiza ulifaulu masomo yako kweli?

Tunaelewa kuwa msagaji hafurahii mwanaume, imekuwaje wewe kuihimili ndoa yako na kuendelea kusaka mabwana wa nje ya ndoa?

Pole sana, nitangulize hongera kama umeweza kukiruka kiunzi hicho na kurudi katika maisha yako ya kawaida yenye staha.
 
Hii habari ukidoma vizuri imeandikwa na mwanaume anayejifanya mwanamke mwenye kujiita kuwa yeye ni mwalimu wa wanawake wakati ni mwanaume
Shame on him

Vyuoni wasichana wengi mbona wastaarabu sana na wanamaliza vizuri tu
 
Hakika wewe ni kamanda
 
Hawa kubandua 0717
 
H Hamna dhambi hapo relax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…