Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

Eti unakuta Mwanaume ni mkware ile mbaya, michepuko kama yote lakini anajifanya kuwa na wivu mpaka kero kwa mkewe !

That is not fair at all!
 



Vivyo hivyo Kwa anayetembea na mume wa mtu [emoji108][emoji108]
 
Ukisikia au kuhisi ni mke wa mtu achana nae!! Na wewe mwanamke ukihisi ni mme wa mtu achana nae, jiepushe na kumwagiwa maji ya moto. Siku hizi wanatembea na maji ya moto kwenye chupa ya chai.
 
Eti unakuta Mwanaume ni mkware ile mbaya, michepuko kama yote lakini anajifanya kuwa na wivu mpaka kero kwa mkewe !

That is not fair at all!
.
Hiki kitu huwa najiuliza sana
 
Ushauri bora kabisa, akili kichwani mwake
 
kwahio sikio likalia nziiiiiiiii 😂
 
hii changia imekaa kiwoga sana, wewe cha kufanya ukifika mkoa X muite mwagilie moyo halafu aende kulala unapolala ila ukikosa kabisa KY kuwa na hata mafuta ya alizeti na video yako tutaiona hapa na ushujaa wako wa kipuuzi, ke zote zilizojaa bado unajiona ww ndo kidume mfariji kwa mke wa mtu halafu ulivyo hujielewi et unammudu.!!!
 
Endelea, usimuache, hilo ni zali la mentali, unaonekana uko smart, handsome na michongo yako ni matawi ndo maana wake za watu wanakuzimia. Kamata huyo mdada usimuache mtakua na future nzuri naye. Ila si mbaya kama utapata wake za watu watatu zaidi ili usiwe unaboreka mmoja akizingua ratiba
 
nyboma
Unajua kwa Rulenge?
Unajua barabara ya vumbi?
Unajua kwanpalange?
Huko ndiko unakoelekea. Usijidanganye unammudu mume wake.
Kuna jamaa hapa Mbagala mke wake alikua anatoa mpaka barabara ya vumbi kwa afisa Fulani wa manispaa Temeke. Mumewe alikua Ni mtu Fulani mnyonge mnyonge Ila Kaka wa huyo mume Ni jambazi na alikua anajua shemeji yake analiwa kwasababu mumewe Ni mnyonge na Hana hela.
Yule jambazi aliorganaiz fumanizi. Kilichotokea Ni kwamba afisa alifumuliwa na mwishowe akaambiwa ampigie mke wake simu alete pesa ndio mume aachiwe.
Mimi binafsi nikiwa na hamu ya K ya nje huwa natafuta dada poa au li singo maza lililo jichokea.
Mke wa MTU sumu......
 
Usije kuandikishwa barua kwa lazima kisha kuuliwa afu ndata wakasema umejinyonga rushwa ni hatari... achana nae huyo afu nipe namba yake huyo manzi
 
NDOA ZA SASA NI NDOA MISHIKAKI. WAKATI UNA TEMBEA NA MKE/MUME WA MTU. MWENZAKO AMEMALIZANA NA MTU WA TATU YUKO WA NNE.
 
Unapoteza nao mda tu
 
Yani ninacho mshukuru Mungu na serikali ya CCM ni kwamba sijawahi kusikia kesi mahakamani ya kijana alie kamatwa na mke wa mtu alafu akatatuliwa marinda na hawa 'majamaa wakarabati'. Yani kwenye hili swala nayapongeza sana haya majizi ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…