Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Wewe umenusurika kuna mnoko kama wewe walisha mfuata nyumbani kwake kuanzia saa7 usiku mpaka kunakucha ni miti tu yeye ndio kuingia chini ya kitanda kunusuru marinda yake ila ngoma ya watu kama nane au kumi aliicheza mkewe chini huko walitengeneza tobo likawa moja badala ya mawili
 
Mfano isipotiki au imetiki unachomoka vipi kwenye vyombo vya sheria au kuhama kwa milioni kumi?
It's ok mkuu,vyombo vya sheria vya hapa Tanzania au Botswana?,ukuta umejengwa kule kuzuia tanzanite kutoroshwa nchini, kila siku tunasikia utoroshaji wa madini hayo, vyombo vya usalama my foot!!
 
“Ninge” inatokea mwisho wa safari, so wenzio wametoboa??
 
Shukuru Mungu, saa hii ungekuwa unaozea jela huku mkeo na mchepuko wake wakitafuta hizo hela.
 
Kwahiyo hichi alichokileta huyu bwana ni CHAI?! 🤔
Huyu jamaa ametusokota kwasababu.........
1. Miaka ya 20214 upigaji wa kuzima camera ulikua umeshapitwa na wakati (ukizingatia mgodi alio utaja ni mgodi mkongwe)
2. Kiwango cha pesa alichokitaja kwa wakati ule kilikua ni kidogo sana ulinganisha na zoezi alilotaka kufanya.
Naweza nikaeleza sababu nyingi tu mkuu sema nimechoka kuandika
 
Mfano isipotiki au imetiki unachomoka vipi kwenye vyombo vya sheria au kuhama kwa milioni kumi?
Hizi pigo hazijawahi kua na ushahidi wa moja kwa moja na wengi hua wanapangua na hawapatikani na hatia.
Ama kwa lugha nyepesi hata ukikutwa na hatia mgodini zaidi utafukuzwa kazi na kisha wanakuachia ukajisumbukie huko mahakamani na mwisho hawatoleta ushahidi na kesi kesi utashinda
 
Kwahiyo ukagoma kuzima na ukarudi Kakola kuendelea na maisha ya wasiwasi wa kutafutwa mtaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…