TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Wewe umenusurika kuna mnoko kama wewe walisha mfuata nyumbani kwake kuanzia saa7 usiku mpaka kunakucha ni miti tu yeye ndio kuingia chini ya kitanda kunusuru marinda yake ila ngoma ya watu kama nane au kumi aliicheza mkewe chini huko walitengeneza tobo likawa moja badala ya mawiliIlikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.